ABCDFGHIJKLMNOPQRSTU
1
WORLD CLL DAY 2025 SOCIAL MEDIA PLANNER - SWAHILINOT POSTEDPOSTEDSCHEDULED
2
NOTE:
HOW TO USE WCLLD25 SOCIAL MEDIA PLANNER
1. Download the Planner: Save the WCLLD25 Social Media Planner to your computer (File > Download).
2. Use or Edit Post Content (You can edit the post content directly in the file, or right-click on a post and select "Copy", then paste it into your preferred social media platform when creating a new post.)
3. Access and Download Visuals for each social media platform are available in the correct sizes.(Go to: https://www.wclld.org/campaign-material-2025/ , Scroll down to the "Collection of visuals download" section to find and download the appropriate files.)
3
1ST SEPTEMBER
4
DATEDAYPOST CATEGORYSWAHILI TRANSLATIONCHAR. COUNTCALL TO ACTIONSTATUSVISUAL
5
1-SepMONToday is WCLLD🌍Leo ni Siku ya CLL Duniani! #Kampeni ya WCLLD25 inalenga kuimarisha #Elimu ya afya na kuwawezesha kufanya maamuzi sahihi. Si wagonjwa wote duniani wanaweza kupata taarifa, kulingana na wanapoishi. Jiunge: https://www.wclld.org/how-to-get-involved-2025/
#HealthDecisions #ThriveWithCLL
287https://www.wclld.org/how-to-get-involved-2025/NOT POSTED
6
1-SepMONCLL Awareness CLL ni ugonjwa wenye changamoto nyingi, na wagonjwa pamoja na wanaowatunza wanahitaji taarifa sahihi na zinazoeleweka vizuri, ili kufanya maamuzi sahihi kuhusu matibabu na huduma.
🌐 Tembelea www.wclld.org
#WCLLD25 #CLL #ThriveWithCLL
234Visit www.wclld.orgNOT POSTED
7
1-SepMONHealth LiteracyKwenye #WCLLD25, tuelekeze nguvu kwenye #Elimu ya afya na kuwawezesha wagonjwa wa #CLL kupata maarifa. Kupitia elimu na upatikanaji wa rasilimali muhimu, tunaweza kuwasaidia kufanya maamuzi yenye kueleweka na kuhimiza upatikanaji wa huduma bora za afya.
🌐 Tembelea: www.wclld.org
👉 Shiriki katika kuelimisha!
#CLL #HealthLiteracy
331Share post
Visit www.wclld.org
NOT POSTED
8
1-SepMONBetter Decision makingKwenye #WCLLD25 hii, tunasisitiza jinsi ya kufanya maamuzi kwa pamoja kati ya mgonjwa, mlezi na watoa huduma za afya kunavyoleta maamuzi bora ya kiafya.
✅ Shiriki kusambaza ujumbe
🌐 Tembelea: www.wclld.org
#CLL #HealthDecisions
228Share post
Visit www.wclld.org
NOT POSTED
9
1-SepMONCLL Awareness 💬 Tuambie Hadithi Yako 💬
Uzoefu wako na #CLL ni muhimu. Tushirikishe hadithi yako ili kuhamasisha wengine na kuongeza uelewa. Pamoja, tunastawi!
#WCLLD25 #ThriveWithCLL
170Share your storyNOT POSTED
10
1-SepMONHealth LiteracyJitie nguvu kwa kupata maarifa kuhusu #CLL. Kuelewa ugonjwa wako ni hatua ya kwanza ya kufanya maamuzi sahihi na kuendelea vizuri.
✅ Shiriki kusambaza ujumbe
🌐 Tembelea: www.wclld.org
#WCLLD25 #HealthLiteracy
209Share post
Visit www.wclld.org
NOT POSTED
11
1-SepMONBetter Decision makingKujifunza kuhusu #CLL kunaweza kuwa kugumu na kuchosha. lakini haupo peke yako!
Duniani kote, mashirika ya utetezi wa wagonjwa yanatoa rasilimali na msaada ili kukusaidia kuelewa, kufanya maamuzi, na kuendelea vizuri.
✅ Shiriki kusambaza ujumbe
🌐 Tembelea: www.clladvocates.net/cllresources/
#WCLLD25 #HealthDecisions
318Share post
Visit https://www.clladvocates.net/cllresources/
NOT POSTED
12
1-SepMONCLL Awareness Kwenye #WCLLD25 hii, tunawashukuru wote wanaofanya kazi katika huduma za afya na utafiti wa #CLL. Dhamira yenu thabiti inawapatia wagonjwa na familia zao matumaini na chaguzi bora kwa maisha ya baadaye.
🌐 Tembelea: www.wclld.org
#ThriveWithCLL
244Visit www.wclld.orgNOT POSTED
13
1-SepMONHealth LiteracyKatika #WCLLD25 hii, tunasisitiza changamoto za kinga zinazowakabili wagonjwa wa #CLL na familia zao. Upatikanaji wa taarifa sahihi ni muhimu ili wagonjwa wajue jinsi ya kujilinda.
✅ Shiriki kusambaza ujumbe
#HealthDecisions
224Share this postNOT POSTED
14
1-SepMONBetter Decision makingKukabiliana na #CLL kunaweza kuwa kugumu, lakini kwa taarifa sahihi, tunaweza kufanya maamuzi kwa kujiamini.
✅ Shiriki kusambaza ujumbe
🌐 Tembelea: www.wclld.org
#WCLLD25 #HealthDecisions
188Share post
Visit www.wclld.org
NOT POSTED
15
1-SepMONEmbrace Your StoryMaisha na CLL yanaweza kuwa na changamoto, lakini kwa maarifa na msaada, unaweza kuendelea vizuri. Kubali historia yako na endelea kuwa na nguvu.
✅ Shiriki kusambaza ujumbe
#WCLLD25 #CLL #HealthDecisions
203Share this postNOT POSTED
16
ADDITIONAL NOTES
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100