| A | B | C | D | E | F | G | H | I | J | K | L | M | N | O | P | Q | R | S | T | U | V | W | X | Y | Z | |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | HALMASHAURI YA WILAYA YA ………………… | |||||||||||||||||||||||||
2 | AZIMIO LA KAZI | |||||||||||||||||||||||||
3 | ||||||||||||||||||||||||||
4 | SOMO: SAYANSI | |||||||||||||||||||||||||
5 | DARASA: TANO | |||||||||||||||||||||||||
6 | JINA LA MWALIMU:_________________________________________________________________ | |||||||||||||||||||||||||
7 | JINA LA SHULE: ____________________________________________________________________ | |||||||||||||||||||||||||
8 | MUHULA: 1 & 2 | |||||||||||||||||||||||||
9 | MWAKA: 2026 | |||||||||||||||||||||||||
10 | ||||||||||||||||||||||||||
11 | UMAHILI MKUU | UMAHILI MAHUSUSI | ||||||||||||||||||||||||
12 | 1. KUMUDU NADHARIA ZA KISAYANSI | 1.1 Kuonesha uelewa wa nadharia za Kisayansi | ||||||||||||||||||||||||
13 | 1.2 Kufanya uchunguzi sahihi wa kisayansi | |||||||||||||||||||||||||
14 | 1.3 Kuonesha uelewa aina za nishati na matumizi yake | |||||||||||||||||||||||||
15 | 2. KUMUDU STADI ZA AWALI ZA KISAYANSI | 2.1 Kufanya majaribio sahihi ya kisayansi | ||||||||||||||||||||||||
16 | ||||||||||||||||||||||||||
17 | ||||||||||||||||||||||||||
18 | 3. KUMUDU MATUMIZI YA TEHAMA | 3.1 Kutumia TEHAMA katika ujifunzaji | ||||||||||||||||||||||||
19 | ||||||||||||||||||||||||||
20 | ||||||||||||||||||||||||||
21 | ||||||||||||||||||||||||||
22 | UMAHILI MKUU | UMAHILI MAHUSUSI | SHUGHULI ZA UFUNDISHAJI | SHUGHULI NDOGO NDOGO ZA KUTENDWA NA MTOTO | MBINU ZA UFUNDISHAJI | MWEZI | WIKI | VIPINDI | REJEA | VIFAA/ZANA KUFUNDISHIA | ZANA ZA UPIMAJI | MAONI | ||||||||||||||
23 | KUMUDU NADHARIA ZA KISAYANSI | Kuonesha Uelewa wa Nadharia za Kisayansi | Kueleza mfuno wa Mmeng'enyo wa Chakula wa Binadamu (Maana sehemu na Kazi zake) | Kueleza maana ya Mmeng'enyo wa Chakula | Bungua Bongo | Januari | 2 | 5 | TET (2023) Sayansi kitabu cha Mwanafunzi Darasa la Tano, TET Dar Es Salaam | Vifani vya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula | Orodha hakiki mazoezi, Maswali ya ana kwa ana | |||||||||||||||
24 | Kujadiliana kuhusu sejemu za Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula na umuhimu wake | Majadiliano | 3 | 5 | Modeli ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula | Maswali mafupi Mazoezi, Majaribio, Dodoso | ||||||||||||||||||||
25 | Kueleza mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwa kutumia masimiulizi kwa kuzingatia tTEHAMA | Kisa Mafunzo | 4 | 5 | Modeli ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula | Maswali ya ana kwa ana mazoezi jaribio | ||||||||||||||||||||
26 | Kueleza mifumo ya uzazi wa binadamu | kujadiliana na kuelezea mifumo ya uzazi wa binadamu | Majadiliano | Februari | 1 | 5 | Modeli ya mfumo wa uzazi wa binadamu, picha mjongeo. | Mazoezi,Majaribio, Maswali ya ana kwa ana | ||||||||||||||||||
27 | kuelezea mfumo wa uzazi wa mwanamke na mwanaume kwa kutumia TEHAMA | Maswali na majibu | 2 | 5 | Modeli ya mfumo wa uzazi wa binadamu, picha mjongeo. | Mazoezi,Majaribio, Maswali ya ana kwa ana | ||||||||||||||||||||
28 | Kueleza ukuaji katika wanyama na mimea | kueleza dhana ya ukuaji kueleza dhana ya ukuaji katika wanyama na mimea | Bungua Bongo | 3&4 | 5 | Modeli ya mfumo wa uzazi wa binadamu, picha mjongeo. | Mazoezi,Majaribio, Maswali ya ana kwa ana | |||||||||||||||||||
29 | kueleza hatua za makuzi za mwili wa binadamu | kueleza hatua za makuzi za mwili wa binadamu | Bungua Bongo | Machi | 1 | 5 | Picha mjongeo, Video, Picha Chati, Vipepeorushi vinavyohusu hatua ya makuzi | Mazoezi,Majaribio, Maswali ya ana kwa ana | ||||||||||||||||||
30 | kueleza hatua za makuzi za mwili wa binadamu kwa njia ya maswali na majibu | Majadiliano | 2 | 5 | Picha mjongeo, Video, Picha Chati, Vipepeorushi vinavyohusu hatua ya makuzi | Mazoezi,Majaribio, Maswali ya ana kwa ana | ||||||||||||||||||||
31 | kuonesha uelewa wa aina za nishati na matumizi yake | kuelerza dhana ya sumaku (maana,tabia na matumizi) | kueleza maana ,tabia na matumizi ya sumaku kwa kutumia maswali na majibu | Maswali na majibu | 3 | 5 | Picha mjongeo, Video, Picha Chati, Vipepeorushi vinavyohusu hatua ya makuzi | Mazoezi, Majaribio Maswali ya ana kwa ana | ||||||||||||||||||
32 | LIKIZO FUPI 27 Machi - 8 April 2026 | |||||||||||||||||||||||||
33 | Kueleza dhana ya sumaku(maana,tabia na matumizi ) | kuelezea tabia na matumizi ya sumaku kwa kutumia video | Majadiliano | Aprili | 2 hadi 4 | 5 | TET (2023) Sayansi kitabu cha Mwanafunzi Darasa la Tano, TET Dar Es Salaam | Sumaku, Picha, Mjongeo, Video zinazoonesha tabia za sumaku | Mazoezi, Majaribio Maswali ya ana kwa ana | |||||||||||||||||
34 | kuainisha matumizi mbali mbali ya sumaku | Maswali na majibu | Mei | 2 hadi 3 | 10 | Sumaku, Picha, Mjongeo, Video zinazoonesha tabia za sumaku | Mazoezi, Majaribio Maswali ya ana kwa ana | |||||||||||||||||||
35 | kufanya matembezi ya galari baada ya majadiliano ili kujifunza matumizi mbali mbali ya sumaku kutoka kwa wanafunzi wenzao | Matembezi ya galari | Sumaku, Picha, Mjongeo, Video zinazoonesha tabia za sumaku | Mazoezi, Majaribio Maswali ya ana kwa ana | ||||||||||||||||||||||
36 | MTIHANI WA MUHULA WA KWANZA | |||||||||||||||||||||||||
37 | LIKIZO YA MUHULA WA KWANZA 05 Juni - 6 Julai 2026 | |||||||||||||||||||||||||
38 | KUMUDU STADI ZA AWALI ZA KISAYANSI | Kufanya majadiliano sahili ya kisayansi | kufanya majaribio sahili ya ukuaji katika wanyama na mimea | kueleza hatua za kufanya majaribio sahili ya kisayansi kwa njia ya maswali na majibu | Majadiliano | Julai | 2 hadi 4 | 5 | TET (2023) Sayansi kitabu cha Mwanafunzi Darasa la Tano, TET Dar Es Salaam | Seti ya sayansi ya wanyama wadogowadogo pichamjongeo, Video na chati | Mazoezi, Majaribio Maswali ya ana kwa ana | |||||||||||||||
39 | kufanya majaribio sahili ya ukuaji wa wanyama na mimea | Bungua Bongo | Agosti | 1 | 5 | Seti ya sayansi ya wanyama wadogowadogo pichamjongeo, Video na chati | Mazoezi, Majaribio Maswali ya ana kwa ana | |||||||||||||||||||
40 | kufanyanya majaribio sahili ya kubaini tabia za sumaku | kufanya majaribio sahili ya kubaini tabia za sumaku | Majadiliano | 2 Hadi 4 | 15 | Sumaku, Picha, Mjongeo, Video zinazoonesha tabia za sumaku | Mazoezi, Majaribio Maswali ya ana kwa ana | |||||||||||||||||||
41 | LIKIZO FUPI 04 Septemba - 14 Septemba 2026 | |||||||||||||||||||||||||
42 | KUBUNI PROGRAMU SAHILI ZA KOMPYUTA | Kubuni programu sahili za kompyuta | kutumia zana inayoingiza lugha ya kompyuta kuunda michezo sahili inayounganisha maumbo mawili | kujadiliana kuhusu kuunda michezo sahili inayounganisha maumbo mawili | Maswali na majibu | Septemba | 3 hadi 4 | 10 | TET (2023) Sayansi kitabu cha Mwanafunzi Darasa la Tano, TET Dar Es Salaam | Kompyuta, programu ya Komyuta na Projekta | Maswali mafupi Mazoezi, Majaribio, Dodoso | |||||||||||||||
43 | kuunda michezo sahili inayounganisha maumbo mawili kwa kutumia zana inayoigiza lugha ya kompyuta | Onesho Mbinu | 1 hadi 2 | 10 | Kompyuta, programu ya Komyuta na Projekta | Mazoezi, Majaribio Maswali ya ana kwa ana | ||||||||||||||||||||
44 | kutumia zana inayoigiza lugha ya kompyuta kuunda michezo sahili inayounganisha maumbo mawili | Kazi na vitendo | 3 hadi 4 | 10 | Kompyuta, programu ya Komyuta na Projekta | Mazoezi, Majaribio Maswali ya ana kwa ana | ||||||||||||||||||||
45 | NOVEMBA MARUDIO YA MADA ZILIZOFUNDISHWA | |||||||||||||||||||||||||
46 | MTIHANI WA MUHULA WA PILI | |||||||||||||||||||||||||
47 | LIKIZO YA MUHULA WA PILI 04 Desemba - 2026 | |||||||||||||||||||||||||
48 | ||||||||||||||||||||||||||
49 | ||||||||||||||||||||||||||
50 | ||||||||||||||||||||||||||
51 | ||||||||||||||||||||||||||
52 | ||||||||||||||||||||||||||
53 | ||||||||||||||||||||||||||
54 | ||||||||||||||||||||||||||
55 | ||||||||||||||||||||||||||
56 | ||||||||||||||||||||||||||
57 | ||||||||||||||||||||||||||
58 | ||||||||||||||||||||||||||
59 | ||||||||||||||||||||||||||
60 | ||||||||||||||||||||||||||
61 | ||||||||||||||||||||||||||
62 | ||||||||||||||||||||||||||
63 | ||||||||||||||||||||||||||
64 | ||||||||||||||||||||||||||
65 | ||||||||||||||||||||||||||
66 | ||||||||||||||||||||||||||
67 | ||||||||||||||||||||||||||
68 | ||||||||||||||||||||||||||
69 | ||||||||||||||||||||||||||
70 | ||||||||||||||||||||||||||
71 | ||||||||||||||||||||||||||
72 | ||||||||||||||||||||||||||
73 | ||||||||||||||||||||||||||
74 | ||||||||||||||||||||||||||
75 | ||||||||||||||||||||||||||
76 | ||||||||||||||||||||||||||
77 | ||||||||||||||||||||||||||
78 | ||||||||||||||||||||||||||
79 | ||||||||||||||||||||||||||
80 | ||||||||||||||||||||||||||
81 | ||||||||||||||||||||||||||
82 | ||||||||||||||||||||||||||
83 | ||||||||||||||||||||||||||
84 | ||||||||||||||||||||||||||
85 | ||||||||||||||||||||||||||
86 | ||||||||||||||||||||||||||
87 | ||||||||||||||||||||||||||
88 | ||||||||||||||||||||||||||
89 | ||||||||||||||||||||||||||
90 | ||||||||||||||||||||||||||
91 | ||||||||||||||||||||||||||
92 | ||||||||||||||||||||||||||
93 | ||||||||||||||||||||||||||
94 | ||||||||||||||||||||||||||
95 | ||||||||||||||||||||||||||
96 | ||||||||||||||||||||||||||
97 | ||||||||||||||||||||||||||
98 | ||||||||||||||||||||||||||
99 | ||||||||||||||||||||||||||
100 | ||||||||||||||||||||||||||