KF 102 UTANGULIZI WA FASIHI SIMULIZI NA ANDISHI
MODULI YA KWANZA NA YA PILI
2020/21
MALENGO MAKUU YA KF 102
MALENGO MAKUU TA KF 102
MODULI YA 1
Dhana za msingi
1. Etimolojia
2. Mitazamo mbalimbali
Littera,Literature, Adabu/fusuh….Fasihi
Fasihi ni Maandishi
Fasihi ni maandishi bora/jamili
Sanaa ya lugha yenye ubunifu
Fasihi ni hisi
Matumizi ya lugha isiyo ya kawaida
Wasanii hasa wa ushairi hukiuka taratibu za kawaida za matumzi ya lugha ktk sarufi, maana na sauti. [UKENGEUSHI]
Lugha isiyo ya kawaida hutumika ili kuleta athari maalum kwa wasomaji/wasikilizaji. Kutokana na athari hiyo msomaji/msikilizaji huvutiwa na huathirika msomaj. Hatimaye humfanya aitafakari lugha yenyewe badala ya kuutafakari ujumbe tu
lugha isiyo ya kawaida
Majumuisho
NI SANAA ambayo hutengenezwa kutokana na mchakato wa kihistoria na kiharakati katika maisha ya jamii.
NI SANAA ambayo usanii wake hujidhihirisha kupitia matumizi ya kawaida, iwe ya kawaida au isiyo ya kawaida
NI SANAA ambayo hujadili maisha kwa kipindi fulani cha historia, historia yenyewe, chimbuko la jambo na mustakabali wake
NI SANAA ambayo huonesha ubora na udhaifu wa jamii mithili ya kioo [fasihi ni kioo cha jamii]. Fasihi ni Zaidi ya Kioo kwani Haituoneshi tu, bali ni mjadala wa harakati za mwanadamu katika kuyaingia maisha, kuyatengeneza, kuyabadilisha, kuyaishi na hatimaye kuachana na maisha
Dhima ya Fasihi
Fasihi hufanya kazi gani
Hii ni kwa sababu Fasihi ni zao la Kitabaka.�A. Tabaka husaidiwa na itikadi katika Kujiimarisha.�B. Itikadi: Mfumo wa mawazo, imani kuhusu mahusiano na maongozi ya watu ktk Jamii
Kwa ujumla, fasihi hutekeleza dhima zifuatazo
Majumuisho�fasihi hufanya kazi gani
Chimbuko la Fasihi
Hivi Fasihi ilitoka wapi?
Na Je kila Jamii ina Fasihi au Fasihi ni kwa wachache?
I. Mungu/Miungu
i. Fasihi ni Sanaa, Mungu ni msanii mkuu kwa kutumia usanii wake kaumba vitu vyote ikiwemo mwanadamu mwenyewe na Sanaa mbalimbali kama vile fasihi.
ii. Uwezo mwanadamu wa kuumba/kubuni Sanaa kaupewa na Mungu, ambaye ndiye msanii Mkuu.
iii. Fasihi imekuwako duniani tangu kuwepo kwa mwanadamu,
iv. Fasihi ni kama zawadi toka kwa mungu kwa wateule wachache
A] ni ya kidhanifu,
B] inachanganya imani na taaluma
II. SIHIRI
A] inachanganya dhima na chimbuko
B] ni ya kidhanifu
III. Mwigo/uigaji
2. Maana yake hasa ni kuwa mwanadamu alianza kuwa mbunifu kwa maumbile yaliyomzunguka.
3. Fasihi ni mwigo ukimaanisha uwakilishi wa jambo kwa jingine. Ni taswira inayolenga kuonesha jambo kwa njia ya kufananisha kitu halisi na kisicho halisi.
4. Mwanadamu ni kiumbe wa uigaji, tokea mtoto na aliiga vitu kama vile
IV. Juhudi ya Mwanadamu
Juhudi ya Mwanadamu…….
Majumuisho
Tumeona kuwa hakuna fasili moja ya fasihi inayokubalika kwa kila mtu. Kuna mitazamo.
Tumeona pia kuwa watu hutofautiana hata katika kuelezea chimbuko la fasihi. Kuna mitazamo.
Kila mtazamo una uzuri wake na dosari zake. Tunatakiwa tusome kwa makini ili tuzichuje dosari husika dhidi ya uzuri wa mitazamo.
Mara ya mwisho tumesikia kuwa hoja yenye uzito zaidi kuhusu chimbuko ni hoja kwamba fasihi imetokana na juhudi za mwanadamu mwenyewe, na kwamba juhudi hizo zimekuwa zikibadilikabadilika toka jamii/jamii na toka zama/zama
Majumuisho
Tutatumia kielelezo cha maendeleo ya mwanadamu kilichopendekezwa na Marx na Engels
FASIHI NI ZAO LA HISTORIA
Huiitika historia, na huchongwa na historia.
Tunayafanya haya kwa kujikita katika m,uktadha wa fasihi ya Kiswahili.
Pengine tuanze mjadala wetu na
Dhana yenyewe ya fasihi ya Kiswahili, ndipo tujadili maendeleo yake katika mifumo ya mwanadamu
Fasihi ya Kiswahili�- ni ipi hasa
Sengo [1987, 1995]
Senkoro [1988]
Syambo na Mazrui [1992]
Madumulla [2009]
Makundi 4 ya wazungumzaji wa Kiswahili
Wazalishaji wa fasihi ya Kiswahili
Mulokozi [2017]
Fasihi ya Waswahili
Sifa bainifu za Fasihi ya Waswahili
Fasihi ya Kiswahili
Fasihi kwa Kiswahili
Fasihi kwa Kiswahili