SIKU AMBAYO MUNGU …
Mwanzo 1
Tumaini la Mataifa
SIKU YA 4�SIKU AMBAYO MUNGU ALITAMKA KAULI YA MABANO
Tumaini la Mataifa
Notsi za Darasa:
14 Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili na majira na siku na miaka; 15 tena iwe ndiyo mianga katika anga la mbingu itie nuru juu ya nchi; ikawa hivyo. 16 Mungu akafanya mianga miwili mikubwa, ule mkubwa utawale mchana, na ule mdogo utawale usiku; akafanya na nyota pia. 17 Mungu akaiweka katika anga la mbingu, itie nuru juu ya nchi 18na kuutawala mchana na usiku na kutenga nuru na giza; Mungu akaona ya kuwa ni vyema. 19 Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya nne.
Mwanzo 1:14-19
14 Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili na majira na siku na miaka; 15 tena iwe ndiyo mianga katika anga la mbingu itie nuru juu ya nchi; ikawa hivyo. 16 Mungu akafanya mianga miwili mikubwa, ule mkubwa utawale mchana, na ule mdogo utawale usiku; (akafanya na nyota pia.) 17 Mungu akaiweka katika anga la mbingu, itie nuru juu ya nchi 18 na kuutawala mchana na usiku na kutenga nuru na giza; Mungu akaona ya kuwa ni vyema. 19 Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya nne.
Mwanzo 1:14-19
Acha tusafiri katika Ulimwengu
km 1 juu
km 10 juu
km 1,000 juu
km 10,000 juu
Kusafiri katika Ulimwengu
km 241,000
km 384,472
km bilioni 8
Kusafiri katika Ulimwengu
Mwonekano tukitazama nyuma kwenye dunia
miaka 80 ya mwanga
mwaka 1 wa mwanga = km 9,460,730,472,579
(karibu km trilioni 9.5)
Kusafiri katika Ulimwengu
miaka 100,000 ya mwanga
Kusafiri katika Ulimwengu
miaka 10,000,000 ya mwanga
Kusafiri katika Ulimwengu
Wingu Kubwa la Magellanic
Wingu Dogo la Magellanic
miaka 110,000,000 ya mwanga
Kusafiri katika Ulimwengu
miaka 1,100,000,000 ya mwanga
Kusafiri katika Ulimwengu
Kwa nini Mungu aliumba haya yote?
Kusafiri katika Ulimwengu
miaka 93,000,000,000 ya mwanga
Zaburi 19:1
Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu,
Na anga laitangaza kazi ya mikono yake.
שָׁמַיִם shamayim
mbingu moja, mbingu nyingi, anga
רָקִיעַ raqiya
Upana au tao linaloonekana la anga
Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili na majira na siku na miaka; tena iwe ndiyo mianga katika anga la mbingu itie nuru juu ya nchi; ikawa hivyo. Mungu akafanya mianga miwili mikubwa, ule mkubwa utawale mchana, na ule mdogo utawale usiku; akafanya na nyota pia.
Mwanzo 1 : 14 - 16 SIKU YA 4
Vipimo vya Muda Ambavyo Mungu Aliviumba katika Siku ya 4
Ee Bibi Mwezi (O Lady Moon)
na Christina Rossetti (1893)
Ee Bibi Mwezi, pembe zako zinaelekea mashariki:
Ng’aa, ongezeka;
Ee Bibi Mwezi, pembe zako zinaelekea magharibi:
Pungua, pumzika.
Siku Kuu za Agano la Kale zilikuwa zimeunganishwa na kalenda ya nyota za mbinguni
Lakini, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira, hamna haja niwaandikie. 2Maana ninyi wenyewe mnajua yakini ya kuwa siku ya Bwana yaja kama vile mwivi ajavyo usiku.
1 Wathesalonike 5:1-2
Wakamjia Mafarisayo na Masadukayo, wakamjaribu, wakamwomba awaonyeshe ishara itokayo mbinguni. Akajibu, akawaambia, [Kukiwa jioni, mwasema, Kutakuwa na kianga; kwa maana mbingu ni nyekundu. 3Na asubuhi, mwasema, Leo kutakuwa na dhoruba; kwa maana mbingu ni nyekundu, tena kumetanda. Enyi wanafiki, mwajua kuutambua uso wa mbingu; lakini, je! Ishara za zamani hizi hamwezi kuzitambua?] Mathayo 16:1-3
Zaburi 104:19
Aliufanya mwezi kwa ajili ya nyakati,
Jua latambua kuchwa kwake.
SIKU AMBAYO MUNGU …
Tumaini la Mataifa