Note to Facilitator
to get an overview of the session
and access supporting resources.
How to Unhide or Hide a Slide in PowerPoint
Note to Facilitator:
This slide is hidden when the slide show is in Slide Show mode
In this slide deck, some slides are marked as hidden. They are not visible to participants when the slide deck is presented in Slide Show mode.
Hidden slides are used to share:
To Unhide a Slide
1. In the left navigation pane, select the hidden slide you want to unhide.
2. Right-click the slide, then select Unhide Slide.
To Hide a Slide
1. In the left navigation pane, select the slide you want to hide.
2. Right-click the slide, then select Hide Slide. The slide now shows a slash through the slide number to indicate that it's hidden.
In Google Slides, follow the same process. Select “Unskip Slide” or “Skip Slide”
Kujitegemea
Kikao cha ine cha Maelekezo ya Utamaduni
Maelekezo ya Utamaduni
Maelekezo ya Utamaduni
Kikao cha kwanza Kikao cha kwanza: Karibu kwa Jumuiya | Kikao cha pili Afya na Usalama |
Kikao cha tatu Kazi na Elimu | Kikao cha ine Kujitegemea |
Ekipe ya [Name of the RA]
Add your picture
Add your picture
[ your name and role]
[ your name and role]
Ekipe ya [Name of the RA]
Add your picture
[ your name and role]
[ your name and role]
[ your name and role]
Add your picture
Add your picture
Similar and Different
Jumuiya hii
Jumuiya zingine
Kutoka msaada mpaka kujitegemea
Kujitegemea
1. Money Management
2. Digital Technology
3. On Your Way
1. Uchungaji wa pesa
2. Teknolojia ya tarakimu
3. Unaingia mu njia
Msaada kwa njia ya Usaidizi wa serikali
Mpango wa Msaada wa malisho ya zaidi (SNAP)
Banamuke, batoto bachanga, na batoto (WIC)
Msaada wa muda kwa familia zenye mahitaji (TANF)
Msaada wa pesa kwa Wakimbizi (RCA)
Msaada wa pesa unaolingana na ungine
Mapato ya Usalama ya zaidi (SSI)
Msaada wa Serikali kwa ajili ya Afya
Msaada wa Serikali
Note to Facilitator:
This slide is hidden in Slide Show mode.
Use this slide template to add information on public assistance. Make as many copies as you need and unhide the slides.
As needed, add slides that address common areas of concern and questions that frequently come up in your work with clients.
Ndiyo | Hapana |
Msaada wa Serikali
Mchezo wa Mapitio
Ndiyo | Hapana |
1. Faida zako za SNAP zitakuwa pesa sawa na za familia ingine.
Hapana |
1. Faida zako za SNAP zitakuwa pesa sawa na za familia ingine.
Ndiyo | Hapana |
2. Biro ya Makao mupya inasaidiaka batu kutafuta jinsi ya kupata msaada wa serikali.
Ndiyo |
2. Biro ya Makao mupya inasaidiaka batu kutafuta jinsi ya kupata msaada wa serikali.
Ndiyo | Hapana |
3. Kuna mapaswa na mahitaji katika kutafuta mipango ya msaada wa serikali.
Ndiyo |
3. Kuna mapaswa na mahitaji katika kutafuta mipango ya msaada wa serikali.
Kufika kujitegemea
Pesa za mapato
Msaada wa Serikali
Wakati katika Amerika
Kupanga garama
Mapato |
Msaada wa Serikali |
Kazi |
Garama
Kodi ya nyumba
Chakula
Matumizi ya umeme na vifaa ingine
Kusafiri
Mengine
Note to Facilitator:
This slide is hidden in Slide Show mode.
* You can do this before the session so the page will be ready, or you can model how to change the language.
Kupanga garama: Lazima na Mahitaji
Lazima | Mahitaji |
Kitu cha lazima kwa kuishi | Kitu chenye kinafanya Maisha iwe bora, lakini si cha lazima |
Kupanga garama: Lazima na Mahitaji
Lazima | Mahitaji |
| |
Unaisha kuyua nini? �Una maswali gani?
Pesa za Amerika
Kazi ya Banki
Banki ya Mtandao
Pesa za Amerika
Pesa | Jina | Jumla (tumia $ na .) |
| peni | $0.01 1 senti |
| nikeli | $0.05 5 masenti |
| daimi | $0.10 10 masenti |
| Robo ya dola | $0.25 25 masenti |
Noti | Jina | Jumla (tumia $ na .) |
| 1-noti ya dola | $1.00 |
| 5-noti ya dola | $5.00 |
| 10-noti ya dola | $10.00 |
| 20-noti ya dola | $ 20.00 |
| 100-noti ya dola | $100.00 |
Pesa ngapi? $__.___� dola . masenti
$40.60
$15.07
$106.30
Kutunza pesa zako
Jenga historia nzuri ya mikopo
Mpango wa pesa
Note to Facilitator:
This slide is hidden in Slide Show mode.
Use this slide template to add information on Budgeting and Personal Finance. Make as many copies as you need and unhide the slides.
As needed, add slides that address common areas of concern and questions that frequently come up in your work with clients.
Mazungumzo ya kikundi
Kutoka msaada mpaka kujitegemea
Mapumziko: rudia ku kikundi kisha dakika 5
Kujitegemea
1. Money Management
2. Digital Technology
3. On Your Way
1. Uchungaji wa pesa
2. Teknolojia ya tarakimu
3. Unaingia mu njia
Byombo bya tarakimu kwa kuwasiliana
Teknolojia ya kila siku
Note to Facilitator:
This slide is hidden in Slide Show mode.
Use this slide template to add images and information about digital literacy in your community. Make as many copies as you need and unhide the slides.
As needed, add slides that address common areas of concern and questions that frequently come up in your work with clients.
Mazoezi salama ya Tarakimu
Fanya angalisho ku mutandao
Fanya mambo yako ya mutandao yaikale salama
Ni vizuri kulinda mot de passe zako
Toka mutandao ukimaliza kazi
Fanya angalisho na Wi-Fi ya bure
Ni vizuri kulinda bitambulisho binafsi (PII)
Hali za udanganyifu
Hadisi ya kwanza: Unadaiwa Kodi
Hadisi ya pili: Umeshinda!
Udanganyifu wa kusema Unadaiwa kodi
Kutoka: Taxes@ISR.com �Imetumwa: Siku ya tano, tarehe 7 mwezi wa ine 2023, saa ine na dakika 35�
Kwa: Marie@gmail.com
�Sababu: Kodi inayodaiwa
Udanganyifu wa kusema unadaiwa kodi
Kutoka: Taxes@ISR.com �Imetumwa: Siku ya tano, tarehe 7 mwezi wa ine 2023, saa ine na dakika 35�Kwa: Marie@gmail.com
�Sababu: Kodi inayodaiwa
Tunaona kama unadaiwa dola 3500 ya kodi.
Lipa sasa hivi ili kuepuka amende ao kufungwa.
Kukataza hivi vitendo kwenda kulipa ku Taxes@ISR.com.
Andika namba yako ya Usalama wa Jamii kuhakikisha idadi yako.
Udanganyifu wa kusema Umeshinda!
Udanganyifu wa kusema Umeshinda!
Pongezi! Umepokea Congé ya kwenda Hawaii. Hii congé iko na beyi ya dola 2000. Kama unataka hii zawadi, piga simu 555-571-6500 kuhakikisha idadi yako. Piga simu haraka. Muda wa hii zawadi unamalizika mu siku 3.
Udanganyifu wa kusema umepewa kazi
Kutoka: UNICIF@gmail.com� Imetumwa: Siku ya kwanza, tarehe 10 mwezi wa saba 2023, saa tisa na nusu usiku
Kwa: Nataly@yahoo.com
� Sababu: Umepewa Kazi
Udanganyifu wa kupewa Kazi
Kutoka: UNICIF@gmail.com�Imetumwa: Siku ya kwanza, tarehe 10 mwezi wa saba 2023, saa tisa na nusu asubuhi�Kwa: Nataly@yahoo.com
�Sababu: Umepewa Kazi
UNICIF inataka kukupa kazi ya kudumu inayolipa dola 18 kwa saa. Mbele ya kuanza, tunataka kukagua mwenendo wa maisha yako.
Tuma picha za makaratasi yafuatayo mnamo saa 24: Carte ya Usalama wa Jamii, Kitambulisho cha Jimbo, na numero ya compte yako ya Banki kwa kutuma mshahara moja kwa moja.
Finya hapa sasa hivi upate habari zaidi.
�UNICIF Charity
Mazungumzo ya kikundi
Kujitegemea
1. Money Management
2. Digital Technology
3. On Your Way
1. Uchungaji wa pesa
2. Teknolojia ya tarakimu
3. Unaingia mu njia
Haki zako
Mapaswa:�Kulipa deni ya safari
Mapaswa: Jiandikishe kwa Selective Service
Mapaswa: �Tuma karatasi ya kubadilisha anwani
Mapaswa: �Badilisha Hali yako
Omba Ukaaji wa daima
Omba Uraia
Kuzoea Utamaduni
Umeona nini? � �Nimeona kuwa_______ni kitu cha maana Amerika.
Kufanana na Tofauti
Utamaduni wa Amerika
Jumuiya zingine ulizoikala ndani
Utofauti
Upekee
Kuwa kwa wakati
Kufanana na Tofauti
Utamaduni wa Amerika
Jumuiya zingine ulizoikala ndani
Kuzoea Utamaduni
Note to Facilitators:
This slide is hidden in Slide Show mode.
These links take you to a video about Cultural Adjustment.
Before the session, select the link that leads to the appropriate language for your audience. You can have it open in another tab to switch to when you are providing.
All videos can be accessed at
Kubadilisha kawaida ya vitendo katika familia
Note to Facilitator:
This slide is hidden in Slide Show mode.
Use this slide template to add images about rights and responsibilities or cultural adjustment.
Make as many copies as you need and unhide the slides.
As needed, add slides that address common areas of concern and questions that frequently come up in your work with clients.
Maswali na Majibu
Kutoka msaada mpaka kujitegemea
Kikao cha kwanza Karibu katika Jumuiya |
Shirika |
Kikao cha pili Afya na Usalama |
Wema wa Hali |
Kikao cha tatu Kazi na Elimu |
Kukua |
Kikao cha ine Kujitegemea |
Kutoka Msaada mpaka Kujitegemea |
Maelekezo ya Utamaduni�Taarifa Muhimu
��