MIPANGO WA MATUMIZI YA ARDHI: UZINGATIAJI WA MIPANGO YA MATUMIZI YA ARDHI�(LAND USE PLANNING COMPLIANCE)
Photo VLUP
Yaliyomo
Utangulizi
Mipango ya Matumizi ya Ardhi?
Utangulizi…unaendelea
Ukaguzi wa Uzingatiaji wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi
Msingi wa Ukaguzi
Utangulizi…unaendelea
Majukumu ya Tume katika Uzingatiaji
Utangulizi…unaendelea
Kwanini Ukaguzi wa Uzingatiaji
Utangulizi…unaendelea
Malengo ya Ukaguzi
Utangulizi…unaendelea
Utaratibu wa Ukaguzi wa Uzingatiaji wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi
Utangulizi…unaendelea
Tathmini na Ufuatiliaji wa Matokeo ya Ukaguzi
Utangulizi…unaendelea
Mbinu na zana za ukusanyaji na uchambuzi wa taarifa
Mbinu za ukusanyaji taarifa
Zana za ukusanyaji na uchambuzi wa taarifa
Taarifa za msingi (primary data) na taarifa za mapitio ya tafiti (secondary data) za Mipango ya Matumizi ya Ardhi.
Utangulizi…unaendelea
Vigezo wakati wa Ukaguzi
Utangulizi…unaendelea
Ukaguzi wa Uzingatiaji wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji 120
Matokeo ya Ukaguzi
Matokeo ya Ukaguzi wa Uzingatiaji wa Vijiji 120
1. Uelewa juu dhana ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi ngazi ya Kijiji (kaya)
Matokeo ya Ukaguzi…yanaendelea
2. Uzingatiaji wa maeneo yaliyotengwa kwa matumizi mbalimbali
Mabango ya matumizi ya ardhi
Matokeo ya Ukaguzi…yanaendelea
Uwekaji wa Alama za Matumizi ya Ardhi
Matokeo ya Ukaguzi…yanaendelea
b) Maeneo ambayo hayajawekewa mabango ni 26.4% na katika maeneo haya matumizi yaliyotengwa hayazingatiwi.
Mabango yaliyo Ofisi ya Kijiji
Matokeo ya Ukaguzi…yanaendelea
3. Mahusiano ya alama na uzingatiaji wa matumizi yaliyopangwa
4. Ushiriki katika Mipango ya Matumizi ya Ardhi
Matokeo ya Ukaguzi…yanaendelea
Matokeo ya Ukaguzi…yanaendelea
5. Ukiukwaji wa Miongozo mfano; katika Halmashauri 69 zilizokaguliwa ni 68% tu ya wajumbe wa Kamati Shirikishi ya Usimamizi wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi ngazi ya Wilaya (PLUM) ndio waliteuliwa kwa barua.
6. 45% ya PLUM hawana mafunzo ya uandaaji wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi kwa mujibu wa Miongozo.
7. Kutokutekelezwa kwa Mipango Kazi ya Jamii (Community Action Plans) kwa mujibu wa sekta.
8. Mipango ya Matumizi inayoandaliwa kuishia hatua ya 4 badala ya kufikia hatua ya sita.
9. Kati ya Vijiji 3874 katika Halmashauri za Wilaya 69 zilizokaguliwa, jumla ya Vijiji 1058 pekee ndivyo vyenye Mipango ya Matumizi ya Ardhi. Hii ni sawa na 27% ya Vijiji vyote.
10. Vijiji 2816 sawa na 73% havina Mipango ya Matumizi ya Ardhi.
11. Mabaraza ya Ardhi ya Vijiji yaliyomaliza muda wake kuendelea kufanya kazi.
Mafanikio ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi
Mafanikio yaliyopatikana kutokana na Mipango ya Matumizi ya Ardhi
Changamoto
Changamoto zinazokabili Mipango ya Matumizi ya Ardhi
Mapendekezo
Mapendekezo/Ushauri
Mapendekezo…yanaendelea
Hitimisho
Hitimisho
“Maendeleo ya Kidigitali ni muhimu katika Udhibiti na Usimamizi wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi nchini.
ASANTE SANA