KUWASILISHA TAARIFA ZA KITAALUMA
Utangulizi
maelekezo yanayoeleweka darasani wakati wa ufundishaji na ujufunzaji.
Kutumia lugha inayofaa. Hivyo umahiri utakaoujenga utakuwezesha kuwasilisha taarifa za kitaaluma darasani kwa kutumia lugha inayofaa.
Dhana ya taarifa za kitaaluma
watafiti, na wataaluma katika nyanja mbalimbali kwa ajili ya kutumiwa na wataalamu.
Hivyo, upatikanaji wa maarifa kupitia nadharia mbalimbali utakuwezesha kuimarisha uwezo wako wa kuelewa taarifa za kitaaluma.
Vyanzo vya taarifa za kitaaluma
Kuna aina mbalimbali za vyanzo vya taarifa za kitaaluma ambavyo husaidia katika ukuzaji wa utafiti, ujifunzaji na maendeleo ya kitaalamu. Vyanzo vikuu vya taarifa za kitaaluma ni kama vifuatavyo;
2. Makala za kiutafiti
hutoa maarifa na hitimisho linalotokana na ushahidi halisi ambavyo husaidia kukuza maarifa katika nyanja mbalimbali.
3. Makala za makongamano
kukusaidia mada zako za utafiti, kujaribisha dhana mpya na kuwasilisha matokeo yako kwa wengine.
4. Ripoti
katika uga husika.
5. Ensaiklopidia
6. Kamusi
Kazi ya kufanya:
Kwa kutumia vyanzo vya kuaminika vya taarifa za kitaaluma, andika insha kuhusu namna rushwa inavyoathiri maendeleo. Hifadhi kazi katika mkoba wa kazi.
SIFA ZA VYANZO VYA UHAKIKA VYA TAARIFA ZA KITAALUMA
huambatana na ushahidi wa kimamlaka.
2. Usahihi
3. Kutopendelea
4. Uwazi na ufasaha
na ya kina.
5. Madondoo na marejeo ya vyanzo vingine
taarifa iliyofanyiwa utafiti wa kina.
6. Mpangilio mzuri
ndogondogo.
7. Kusudi na mawanda
Kazi ya kufanya
Kwa kutumia chanzo cha kuaminika cha taarifa za kitaaluma, tafuta taarifa kuhusu njia za uzazi wa mpango. Fafanua ni kwa namna gani chanzo hicho kimezingatia sifa za vyanzo vya tarifa za kitaaluma.
Mikakati ya uwasilishaji taarifa za kitaaluma
Uwasilishaji wa taarifa za kitaaluma unahitaji muunganiko wa mikakati anuai ili kukidhi mahitaji tofauti ya ujifunzaji, kuendeleza hamasa, na kukuza uelewa wa mwanafuzi.
Ifuatayo ni mikakati ya uwasilishaji wa taarifa za kitaaluma;
kuonesha hoja, data na picha muhimu ili kueleweka kwa urahisi.
2. Kupangilia uwasilishaji wa maudhui
kuwasilisha kwa utangulizi shirikishi, kisha kifuate kiini kilichopangiliwa vizuri katika kuwasilisha hoja kuu, na hitimisho kwa muhitasari wenye hoja za msingi au wito wa kuchukua hatua.
Tumia vichwa vikuu vya mada na vichwa vidogo, na dondoo nukta ili kupanga maudhui katika mtiririko ulio rahisi kufuata.
3. Kutumia mbinu shirikishi
na majibu huchochea ushiriki wa wanafunzi na huwapa fursa ya kueleza fikira zao, kuuliza maswali, na kujihusisha zaidi katika kufuatilia zana na vifaa vya ujifunzaji.
kushirikiana au kufafanuliana dhana wao kwa wao, hivyo, kuimarisha ujifunzaji kupitia mtagusano.
4. Shughuli za vitendo
pia ni miongoni mwa shughuli hizi za vitendo ambazo huwaingiza wanafunzi katika ulimwengu halisi, zikiunganisha ujifunzaji wa darasani na uzoefu halisi nje ya mazingira ya shule.
5. Kutumia teknolojia
kielimu na michezo yenye mafunzo hufanya ujifinzaji kuwa shirikishi zaidi kwa wanafunzi.
6. Kutoa mrejesho chanya
na maendeleo binafsi.
utendaji wao, kupanga malengo yenye uhalisia na kubuni mikakati ya namna ya kufikia malengo hayo.
Mbinu za kutoa maelekezo darasani
na ujifunzaji huwa yanajikita katika mbinu, michakato, na mikakati inayolenga kukuza uelewa wa wanafunzi na kutumia ipasavyo vifaa vya ujifunzaji.
kurudiwa.
Zifuatazo ni mbinu muhimu unazoweza kuzitumia katika kutoa maelekezo yanayoeleweka darasani wakati wa ufundishaji, ujifunzaji na upimaji;
mzunguko.
2. Gawa maelekezo katika hatua ndogondogo
3. Elekeza kwa vitendo
wenyewe. Kuonesha kwa vitendo huwasaidia wanafunzi kuelewa vizuri zaidi kile wanachotarajiwa kukifanya.
4. Pima uelewa
5. Tumia zana-uoni
6. Tumia kauli ya kutenda
ya kutendwa.
7. Wahimize wanafunzi kuuliza maswali
ZOEZI
4. Fafanua namna ugumu wa maelekezo unavyoweza kuathiri motisha na ujasiri wa wanafunzi katika kukamilisha kazi.
Kutumia mfumo wa mawasiliano unaotumia maneno na usiotumia maneno katika ujifunzaji
Kuamsha na kuendeleza hamasa ya mwanafunzi ni muhimu katika ufundishaji na ujifunzaji wenye ufanisi. Katika sehemu hii utajifunza uwezo wa kuwasiliana kwa kutumia mfumo wa mawasiliano unaotumia maneno na usiotumia maneno katika kuimarisha mchakato wa ufundishaji
na ujifunzaji.
(i) Mfumo wa kimawasiliano unaotumia maneno
mfumo unaotumia maneno kuwa shirikishi kwa kutumia usimulizi wa hadithi na ucheshi.
Kutumia mfumo wa mawasiliano unaotumia maneno katika kuhamasisha ujifunzaji
Natumizi ya mfumo wa mawasiliano unaotumia maneno ni muhimu katika ujifunzaji kwani huamsha shauku, huwashirikisha na kuwapa motisha wanafunzi. Ifuatayo ni baadhi ya mikakati
muhimu unayoweza kuitumia;
2. Ucheshi
3. Maswali yanayochochea fikra tunduizi
4. Motisha chanya
na mafanikio yake. Kwa mfano, unapomhamasisha na kumsifia mwanafunzi unakuza kujiamini na kumpa motisha.
5. Namna ya utoaji wa sauti
ujumbe kupenya katika hisia za wanafunzi
6. Ushirikiano baina ya wanafunzi
Kazi ya kufanya
umefanikiwa zaidi? Ni katika maeneo gani ya mfumo wa mawasiliano unaotumia maneno unahitaji kufanya maboresho?
3. Kwa kutumia maktaba na vyanzo rasmi vya kuaminika vya mtandaoni, soma matini zinazohusu mfumo wa mawasiliano unaotumia maneno. Andika kwa muhtasari hoja muhimu zinaozohusu umuhimu wa mfumo wa mawasiliano unaotumia maneno. Hifadhikazi katika mkoba wa kazi.
ZOEZI
3. Tunga maswali matano yanayochochea fikra tunduizi ambayo yataibua udadisi na kuchochea wanafunzi kushiriki kikamilifu katika ujifunzaji.
(ii) Mfumo wa kimawasiliano usiotumia maneno
Kutumia mfumo wa mawasiliano usiotumia maneno katika ujifunzaji
kuboresha au kutatiza ujumbe unaowasilishwa kwa mdomo.
nyumbufu na kusaidia kufikisha ujumbe kwa usahihi na kwa namna inayofanya ukumbukwe.
Ishara hizi hujumuisha kupunga mikono, kutoa ishara, kuonesha uelekeo na mijongeo mbalimbali ya mikono. Kwa mfano, mijongeo ya mikono hutumika kusisitiza hoja muhimu, kuonesha uelekeo, au kufafanua dhana.
2. Mnyumbuko wa uso
3. Mkao wa mwili
mikao inayoendana na ujumbe lengwa.
4. Kutazama ana kwa ana
kifanyike kwa wanafunzi wako, kujenga imani, na kuwasiliana kwa dhati.
ya mzungumzaji na msikilizaji.
Kazi ya kufanya
Tumia kifaa chochote cha TEHAMA kutazama video inayoonesha mtu akizungumza, kisha tathmini namna mzungumzaji anavyotumia ishara na aina nyingine za mfumo wa kimawasilaino usiotumia maneno.
ZOEZI
3. Eleza uhusiano uliopo baina ya mfumo wa kimawasiliano unaotumia maneno na ule usiotumia maneno katika mawasiliano.
Kupata taarifa kutoka kwa mwanafunzi
kupata taarifa mahususi, maarifa au mitizamo yake.
Kazi ya kufanya
Kumbuka tukio ambalo ulitakiwa kuibua taarifa kutoka kwa mtu mwingine. Ulikua mkutadha gani? Ulitumia mbinu zipi kuibuz taarifa hizo? Mwitiko wake ulikuwaje? Hifadhi kazi katika mkoba.
Ifuatayo ni mikakati ya kuibua taarifa kutoka kwa wanafunzi;
kutafakari kitunduizi, na kubadilishana mawazo.
2. Kuhimiza tafakuri
3. Kutumia maswali-dodoso
fikra zao, na kutoa maelelzo ya kina zaidi.
4. Kusikiliza kwa kina zaidi
moyo kushirikisha mawazo yake kwa uelewa zaidi.
5. Kutumia matukio halisi na visamafunzo
stadi za utatuzi wa matatizo.
kwa mara; na hivyo ananfanya vibaya katika masomo. Je, unafanya nini ili kumsaidia mwanafunzi huyo awe anahudhuria darasani na kufanya vizuri katika masomo yake?
Kazi ya kufanya
Unataka kufanya mahojiano katika shule ambayo wanafunzi wanaacha shule kwa kiwango kikubwa. Lengo lako ni kutaka kujua sababu binafsi, za kijamii na kiuchumi zinazosababisha kutokea kwa
hali hiyo. Andaa mwongozo wa mahojiano utakaoutumia kupata taarifa kutoka kwa wanafunzi hao kuhusu sababu zinazowafanya kuacha shule. Hifadhi kazi katika mkoba wako wa kazi.
Zoezi
2. Jadili mikakati unayoweza kutumia kumfanya mwanafunzi mso-ndani atoe mawazo yake wakati wa shughuli za ujifunzaji darasani.
Mbinu za kutoa mrejesho katika ujifunzaji
Kazi ya kufanya
Kumbuka mfano ambapo mtu alikupa mrejesho fulani. Je, mrejesho huo ulikuwa
chanya au hasi? Kama mrejesho ulikua hasi, ni kwa namna gani mrejesho huo ulikuwa na mapungufu? Je, mtu huyo alitakiwa kufanya nini ili kuboresha namna ya utoaji mrejesho huo? Hifadhi kazi katika mkoba wa kazi.
Zifuatazo ni baadhi ya mbinu zinazoweza kutumika katika kutoa mrejesho:
Kutathmini huhusisha upimaji na mafanikio ya mwanafunzi kwa kubainisha
ubora na maeneo yanayohitaji kuboreshwa .Lengo la mbinu hii ni kutambua maendeleo ya mwanafunzi na kutoa hamasa.Unapowatathmini wanafunzi fanya mambo yafuatayo:
yanayoendana na swali Fulani kwa kusema, “ingawa ufafanuzi wako ulikuwa sahihi, ungeweza kuboresha kwa kuongeza taarifa zaidi kuhusu mchakato.”
2. Uelekezaji
Uelekezaji unajikita katika kukuza stadi za mwanafunzi kupitia mazungumzo wezeshi na mikakati. Uelekezaji unahusu zaidi uboreshaji binafsi kuliko kupima utendaji. Unaweza kutumia mbinu zifuatazo za uelekezaji;
katika vipengere au hatua ndogondogo ili uweze kulimudu”.
3. Upimaji
Upimaji unahusisha kutathmini kiwango cha utendaji dhidi ya viwango/vigezo vilivyowekwa na kutoa mrejesho kuhusu namna ambavyo mwanafunzi anaweza kufikia viwango hivyo. Unapompima mwanafunzi wako zingatia vipengele vifuatavyo:
mwanafunzi, “Insha yako inakidhi takribani vigezo vyote vilivyohitajika lakini inakosa sentensi tangulizi ya mada.”
Kwa mfano, unaweza kuwasaidia wananfunzi kuboresha kazi zao kwa kuwaambia kuwa, “Ili kuboresha hoja zako, jumuisha walau vyanzo vitatu kuthibitisha madai yako”.
Kazi ya kufanya
1. Tafakari kuhusu mtindo wako wa utoaji mrejesho. Chambua mbinu unazotumia mara kwa mara ili kuhakikisha kuwa mrejesho wako unajenga badala ya kukosoa. Hifadhi kazi katika mkoba wako
wa kazi.
2. Tumia mbinu za kutoa mrejesho, katika kupitia na kutoa ushauri unaojenga kuhusu andalio la somo lililoandaliwa na mwalimu tarajali mwenzako.
Zoezi
mrejesho wako uko bayana na unaeleweka kwa wanafunzi wako katika darasa jumuishi?
3. Fikiria kuwa unahitaji kutoa mrejesho kwa mwanachuo mwenzako kuhusu matokeo yake ya jaribio, eleza namna utakavyohakikisha kwamba mrejesho huo unatolewa kwa namna inayojenga ili kutatua matatizo yake.
ZOEZI LA MARUDIO
yanawahusisha wanafunzi wote, hususaniwale wenye uwezo tofauti wa kuelewa.
4. Eleza namna unavyoweza kutathmini usahihi na kuaminika kwa taarifa za kitaaluma.
5. Tathmini athari za mawasiliano yasiyotumia maneno kama vile; ishara na mkao wa mwili katika kuchochea shauku ya mwanafunzi kujifunza na kumakinika katika somo.
6. Fafanua mbinu tatu ambazo unadhani kuwa zinafaa zaidi katika kuibua taarifa kutoka kwa wanafunzi.
7. Aridhia hali/mazingira ambapo maswali maswali yasiyofunga, maswali fuatilizi na maswali-dodoso huwa faafu katika kuibua taarifa kutoka kwa wanafunzi.
8. Jadili mambo utakayoyazingatia wakati unapima usahihi na kuaminika kwa taarifa za kitaaluma zinazotumika darasani kwako.
9. Fafanua namna unavyoweza kuhakikisha kuwa maelekezo yako yanawashughulisha na kuwapa motisha wanafunzi kushiriki kikamilifu katika mchakato wa ujifinzaji.
10. Eleza ni kwa namna gani mwalimu anaweza kufanikiwa kutengeneza mazingira rafiki ambpo wanafunzi watakuwa huru na kushiriki ipasavyo katika shughuli za darasani.