1 of 97

PREPARED BY ABC VTC

UDEREVA WA KUJIHAMI

2 of 97

MAMBO YA KUFAHAMU

  • KABLA YA KUANGALIA NINI MAANA YA UDEREVA WA KUJIHAMI NI VYEMA KUFAHAMU MAMBO YAFUATAYO;

3 of 97

TAFADHALI�

ZIMA SIMU AU WEKA SILENT

4 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

AJALI NI NINI?

5 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

AJALI NI NINI?

AJALI

NI TUKIO BAYA LINALOTOKEA BAADA YA HATARI NA MAKOSA KUFANYIKA, AMBALO HUPELEKEA KIFO, MAJERUHI NA UHARIBIFU WA MALI

6 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

AJALI NI NINI?

AJALI

NI TUKIO BAYA LINALOTOKEA BAADA YA HATARI NA MAKOSA KUFANYIKA, AMBALO HUPELEKEA KIFO, MAJERUHI NA UHARIBIFU WA MALI

7 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

AJALI NI NINI?

AJALI

NI TUKIO BAYA LINALOTOKEA BAADA YA HATARI NA MAKOSA KUFANYIKA, AMBALO HUPELEKEA KIFO, MAJERUHI NA UHARIBIFU WA MALI

8 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

AINA ZA AJALI ZA BARABARANI

  1. uso kwa uso

(HEAD - ON COLLISION)

9 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

AINA ZA AJALI ZA BARABARANI

  1. uso kwa uso

(HEAD - ON COLLISION)

10 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

AINA ZA AJALI ZA BARABARANI

2. Ubavuni

11 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

AINA ZA AJALI ZA BARABARANI

3. Kugongwa nyuma

12 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

AINA ZA AJALI ZA BARABARANI

4. Kugonga nyuma

13 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

AINA ZA AJALI ZA BARABARANI

5. Pasi ubavuni

14 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

AINA ZA AJALI ZA BARABARANI

6. Ajali ya pekee

15 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

16%

76%

8%

GARI

BINADAMU

MAZINGIRA

16 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

76%

BINADAMU

72%

4%

DEREVA

WATUMIAJI WENGINE

17 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UJINGA

UPUUZI

UZEMBE

UPUMBAVU

18 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UJINGA

  • Kutojua sheria za barabarani.

  • Kutojua udhibiti sahihi wa gari lako

19 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UJINGA

  • Kutojua sheria za barabarani.

  • Kutojua udhibiti sahihi wa gari lako

20 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UJINGA

  • Kutojua sheria za barabarani.

  • Kutojua udhibiti sahihi wa gari lako

21 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UPUUZI

  • Kupuuza ishara na alama za barabarani.

22 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UPUUZI

  • Kupuuza ishara na alama za barabarani.

23 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UZEMBE

  • Kushughulika na mambo mengine tofauti wakati unaendesha gari.

24 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UZEMBE

  • Kushughulika na mambo mengine tofauti wakati unaendesha gari.

ULEVI

25 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UZEMBE

  • Kushughulika na mambo mengine tofauti wakati unaendesha gari.

ULEVI

26 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UZEMBE

  • Kushughulika na mambo mengine tofauti wakati unaendesha gari.

ULEVI

27 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UZEMBE

  • Kushughulika na mambo mengine tofauti wakati unaendesha gari.

SIMU

28 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UZEMBE

  • Kushughulika na mambo mengine tofauti wakati unaendesha gari.

SIMU

29 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UZEMBE

  • Kushughulika na mambo mengine tofauti wakati unaendesha gari.

CHAKULA

30 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UZEMBE

  • Kushughulika na mambo mengine tofauti wakati unaendesha gari.

Uchovu /usingizi

31 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UZEMBE

  • Kushughulika na mambo mengine tofauti wakati unaendesha gari.

UGONJWA

32 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UZEMBE

  • Kushughulika na mambo mengine tofauti wakati unaendesha gari.

ULEMAVU

33 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UPUMBAVU

  • Kufanya matendo ya hatari kwa makusudi.

34 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UPUMBAVU

  • Kufanya matendo ya hatari kwa makusudi.

Kuendesha gari lako karibu kabisa na gari lililo mbele yako

35 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UPUMBAVU

  • Kufanya matendo ya hatari kwa makusudi.

Kujaribu kupita msululu wa magari mlimani au kwenye kona.

36 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UPUMBAVU

  • Kufanya matendo ya hatari kwa makusudi.

Kwenda mwendo kasi zaidi katika mazingira ya hatari.

37 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UPUMBAVU

  • Kufanya matendo ya hatari kwa makusudi.

Kwenda mwendo kasi zaidi katika mazingira ya hatari.

38 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UPUMBAVU

  • Kufanya matendo ya hatari kwa makusudi.

Kwenda mwendo kasi zaidi katika mazingira ya hatari.

39 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UPUMBAVU

  • Kufanya matendo ya hatari kwa makusudi.

UJANA

40 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UPUMBAVU

  • Kufanya matendo ya hatari kwa makusudi.

UJANA

41 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

  1. Binadamu 76%

UPUMBAVU

  • Kufanya matendo ya hatari kwa makusudi.

UJANA

42 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

2. GARI 16%

MAKOSA TOKA KIWANDANI

43 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

2. GARI 16%

MATENGENEZO/ UKAGUZI HAFIFU

44 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

2. GARI 16%

MATENGENEZO/ UKAGUZI HAFIFU

45 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

3. MAZINGIRA 8%

MTO RUAHA

BARABARA

46 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

3. MAZINGIRA 8%

UBOVU WA BARABARA

47 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NINI CHANZO CHA AJALI?

3. MAZINGIRA 8%

HALI MBAYA YA HEWA

48 of 97

Udereva wa Kujihami ni nini?

Udereva wa kujihami ni:

UDEREVA WA KUTUMIA AKILI ILI KUEPUSHA AU KUZUIA AJALI ZA BARABARANI

49 of 97

Dereva wa kujihami anatakiwa kufanya nini?

Dereva wa kujihami anatakiwa:

  • Kutambua hatari zinazoweza kujitokeza na mbinu za uzuiaji wa hatari hizo
  • Kila mara kuchukua tahadhari mapema kabla ya tukio lo lote linaloweza kusababisha ajali.

50 of 97

Katika udereva wa kujihami dereva anatakiwa:-

  • Kuangalia: (Scan)
  • Kutambua (Identify)
  • Kutabiri (Predict)
  • Kuamua (Decide)
  • Kutekeleza (Execute)

51 of 97

Mbinu mbalimbali za kujihami katika matatizo ukiwa barabarani

Hizi ni mbinu ambazo dereva huzitumia wakati linapotokea tatizo lo lote ambalo linaweza kumsababishia ajali ya barabarani.

52 of 97

Gari unayoifuata mbele yako

Uendeshapo gari na mbele ipo gari nyingine ikatokea kwa ghafla dereva aliye mbele yako anasimama:

53 of 97

Njia ya kujihami:

  • Kila mara uendeshapo gari yako acha nafasi ya kutosha kati ya gari yako na gari iliyo mbele yako (following distance) kwa kuacha futi 20 au mita saba hivi. Hii ni lazima uwe na mwendo wa kilometa 50 kwa saa.

54 of 97

Je nitapimaje umbali huo?

  • Kwa kutumia kanuni ya sekunde mbili

(2-second rule) kwa kuweka alama maalum barabarani na kutamka moyoni mara gari ya mbele inapofika kwenye alama hiyo uliyoiteua, unatakiwa kusema moyoni maneno “ELFU MOJA NA MOJA, ELFU MOJA NA MBILI”, (ONE THOUSAND ONE, ONE THOUSAND TWO) muda wa kutamka maneno hayo ni sekunde mbili.

55 of 97

Tahadhari;

  • Kila wakati fikiria kuwa mwenzako anaweza kusimama ghafla bila kuonyesha ishara yoyote.
  • Usiyafuate magari kwa karibu sana, macho yako yaone huku na huko, angalia taa zinazoongoza magari kama zipo
  • Hali ya barabara lazima pia uifikirie, iwapo yupo mwingine anayetaka kubadili njia.

56 of 97

Umbali wa Kusimama� (Stopping Distance)

  • Uelewe kuwa hakuna gari ambayo inaweza kusimama papo hapo. Usijaribu kupunguza umbali wa kusimama. Iwapo unataka kusimama punguza mwendo wako taratibu kwa kubadilisha gea na kufunga breki taratibu ili hata abiria wasiweze kuyumbishwa au hata mizigo isiyumbishwe.

57 of 97

Umbali wa Kusimama…..

  • Jumla ya umbali wa kusimama ni mjumuisho wa kutambua, muda wa kustuka (reaction time), pamoja na umbali ambapo gari limesimama, jinsi kasi ya gari inavyoongezeka ndivyo ambavyo umbali wa kusimama unavyoongezeka.

58 of 97

Gari inayokufuata nyuma yako:

  • Uendeshapo gari yako msaidie dereva aliyenyuma yako kwa kutoa ishara kwa kila hatua ya kitendo unachofanya. Ishara yako uitoe umbali kidogo kiasi cha mita 30 kabla ya kufanya hicho kitendo, punguza mwendo wako kwa kutumia breki ya mguu na huku taa za kuonyesha kusimama zitawaka na kama haziwaki tumia ishara ya mkono.

59 of 97

Dereva mwingine kuendesha upande wako:

  • Iwapo dereva huyo anavuka mstari wa katikati ya barabara jaribu kumpa tahadhari kwa kumpigia honi.
  • Usijaribu hata kidogo kumkwepa kwa kuhamia upande wa kulia kwani anaweza kushtuka na kutambua kuwa yupo upande ambao sio wake na kurudi upande wake.

60 of 97

Dereva mwingine kuendesha upande wako……

  • Muhimu sana kwanza ni kupunguza mwendo (speed) na kubaki kushoto kwako hata kutoka nje ya barabara inapobidi.

61 of 97

Magari kwenye njia panda

  • Njia panda ni sehemu za hatari sana, nazo ziko katika aina zifuatazo:-

(a) Njia panda zinazoongozwa na ALAMA

(b) Njia panda zinazoongozwa na TAA

(c) Njia panda zisizoongozwa na chochote alama au taa.

62 of 97

Magari kwenye njia panda….

  • Unapokaribia njia panda ya aina yoyote kati ya hizo tatu na gari nyingine inakuja upande mwingine kwa kasi papo hapo kuna alama ya “SIMAMA” lakini hasimami au taa nyekundu inawaka na hasimami.

63 of 97

Kujihami:

  • Chukua hatua za tahadhali usifikirie dereva mwingine atafuata sheria.
  • Ingia kwenye njia panda kwa tahadhari sana na uwe tayari kusimama iwapo ni lazima.
  • Angali kulia, kushoto, kulia tena mpaka uone ni salama ndipo unaweza kuendelea na safari yako.

64 of 97

Kujihami….

  • Usigombee njia kwani utakuwa na haki ya kwenda iwapo ni salama. Usishindane na madereva wengine.

65 of 97

Gari inayotaka kupita

  • Wakati dereva wa gari nyingine anataka kupita kuna uwezekano mkubwa wa kukugonga. Anaweza kukupita kwa karibu sana.

66 of 97

Kujihami:

  • Msaidie sana dereva anayetaka kukupita kwa kujikinga mwenyewe. Wakati unapopitwa angalia magari yajayo mbele yako, punguza mwendo wako endesha pembeni na mwache akupite, usifanye ushindani.

67 of 97

Kupita gari iliyo mbele yako (Overtaking)

  • Unapotaka kulipita gari lililo mbele yako au unataka kubadili njia, jihami, kwa kuhakiki mwendo wa gari yako na kufikiria mwendo wa hiyo gari unayotaka kuipita na kuangalia iwapo kuna gari ijayo mbele yako, haya yote ni kukusaidia kufanya uamuzi sahihi na wa busara.

68 of 97

Upitaji mzuri

  • Iwapo una wasiwasi tafadhali usilipite gari ngoja mpaka wasiwasi uishe.
  • Vilevile unapotaka kulipita gari huna budi kuwa mbali nalo kiasi cha mita 30.

69 of 97

Ajali ya kipekee

  • Hii ni ajali ya gari moja bila kuhusisha gari jingine. Aidha gari limeacha njia ghafla na kuanguka au limeacha njia na kugonga mti, au kwasababu dereva alisinzia au kujisahau.

70 of 97

Sababu za ajali ya kipekee

  • Iwapo wanasema shauri ya mwendo (speed) dereva anayejihami kila mara huendesha gari lake kwa mwendo anaoumudu, kulingana na hali ya gari lake
  • Dereva kutopata mapumziko ya kutosha
  • Wenye mawazo mabaya husema shauri ya “Mungu” matokeo yote mabaya yanaweza kuzuilika kwa dereva mwenyewe kutumia mbinu mbalimbali za kujihami

71 of 97

Utumiaji wa Usukani

  • Kila mara dereva hana budi kushika usukani kwa mikono yake miwili labda anapopangua au kupanga gea tu

  • Mikono yake ishike usukani mithili ya mishale ya saa inayoonyesha muda wa saa 3.15 au saa 4.10 kulingana na ukubwa wa usukani na jinsi ulivyofungwa

72 of 97

Utumiaji wa Usukani….

Wakati wa ukataji wa kona dereva atumie njia hii:

Sukuma-vuta (Push-pull method)

73 of 97

Utumiaji wa barabara kwa pamoja

Sio madereva peke yao wanaotumia barabara, kwani wapo watumiaji wengine wa barabara kama vile;

  • Waendao kwa miguu
  • Wapandao baiskeli na pikipiki
  • Wasukuma mikokoteni
  • Wanyama n.k.

74 of 97

Kurudisha gari nyuma

Japo ni mara chache na kwa muda mfupi dereva hurudisha gari nyuma, lakini basi hana budi kufuata kanuni hizi:-

75 of 97

Kurudisha gari nyuma

  • Kuwa na hakika kabisa kuwa hakuna kitu nyuma yako na ikibidi teremka kwenye gari na kuangalia nyuma ya gari lako.
  • Rudisha gari yako polepole angalia huku na huko unaporudisha nyuma.
  • Kila mara kumbuka usirudishe nyuma gari yako kwenye barabara kuu toka barabara ndogo.

76 of 97

Uendeshaji wa Usiku:

  • Uendeshaji wa usiku ni uendeshaji ambao ni hatari hivyo, madereva hawana budi kuwa makini sana, kwa sababu uendeshaji wa usiku upeo wa kuona huwa unapungua kutokana na giza, hivyo unapoendesha usiku ni vizuri kuzingatia yafuatayo:-

77 of 97

1. Punguza kasi ya gari, ili uweze kuona vizuri mazingira ya barabara�2. Tumia mwanga mkubwa wa taa (High beam) kwenye maeneo yaliyo na giza kubwa.�3. Punguza mwanga wa taa unapopishana na mwenzako

78 of 97

  1. Punguza mwanga wa taa zako (Low beam) unapokuwa kwenye barabara zenye taa za barabarani.��5. Safisha kioo cha mbele ili uweze kuona vizuri (Wind Screen)�6.Tumia ishara za taa zako unapotaka kubadili njia, au unapotaka kusimama.

79 of 97

7. Unapotambua hatari ni vizuri kupunguza mwendo mapema kwa kuwa usiku upeo wa kuona unapungua, hivyo ni muhimu kutoa maamuzi mapema

80 of 97

8. Unapoendesha usiku na kujisikia uchovu au usingizi ni vizuri kutafuta nafasi ya kupumzika. Kwa madereva wa mabasi ya msafara mrefu ni vizuri wawe wawili ili wawe wanapokezana.

81 of 97

9. Ongeza umbali wa kufuatana na gari iliyo mbele yako

82 of 97

Uendeshaji wa Mjini

  • Maeneo au miji au jijini maeneo ambayo huwa na msongamano wa magari barabarani, hivyo yote hayo huchangia katika uendeshaji kuwa mgumu.

83 of 97

Uendeshaji wa Mjini

  • Udereva wa kujihami
  • Kasi ya mwendo, inayotumika sehemu za miji
  • kabla ya safari uangalie vizuri njia yako, na epuka kutumia barabara zenye Msongamano
  • Uwe na subira

84 of 97

Uwe makini sana katika maeneo yafuatayo:-

  • Maeneo ya barabra zinapokutana na kukatisha (Multitude of Intersestions).
  • Maeneo magari yanapoegeshwa.
  • Maeneo ya shule
  • Vituo vya mabasi watu wengi huwa wana tabia ya kukimbilia basi bila kujali usalama wao wanapokatisha barabarani.

85 of 97

Uwe makini sana katika maeneo yafuatayo….

  • Maeneo ya msongamano wa watu kama vile masoko, biashara mabalimbali na maeneo ya starehe.
  • Maeneo ambayo unatakiwa kupunguza kasi kwa kutumia alama
  • Maeneo yenye alama na michoro ya barabarani
  • Maeneo ya taa zinazoongoza barabarani

86 of 97

Uendeshaji Nje ya Mji

  • Uendeshaji wa nje ya mji sio mgumu sana kama ilivyo uendeshaji wa mjini, lakini vilevile dereva anatakiwa kuwa makini sana kwa kuwa mara nyingi uendeshaji huo unakuwa ni wa kasi ya juu kiasi, hivyo unapambana na mazingira tofauti ya barabara, huna budi kuzingatia udereva wa kujihami kwani ni vizuri kupunguza mwendo anapopambana na mazingira yafutayo:-

87 of 97

Uendeshaji Nje ya Mji….

1. Punguza mwendo na mpe msaada dereva wa gari lingine linalokupita

2. Punguza mwendo unapopishana na mwenzako

3. Punguza mwendo na ikiwezekana simama unapoona, magari au gari lililoegeshwa pembeni, hasa magari ya mkaa na magogo.

4. Kuwa makini maeneo ya wanyama wanaofugwa na wa porini.

88 of 97

Uendeshaji Nje ya Mji….

5. Kuwa makini kwenye maeneo ambayo reli inakatiza barabara.

6. Kuwa makini na barabara zenye miteremko na miinuko mikali

7. Punguza mwendo na ikiwezekana simama maeneo yenye madaraja ambayo sio rahisi kupishana (Daraja jembamba)

89 of 97

Uendeshaji Nje ya Mji….

8. Tumia gia inayokubalika kwenye maeneo ya miteremko, kona kali, milima.

9. Pungu mwendo unapoingia kwenye maeneo ya makazi ya watu

10. Lipite gari la mbele yako kwenye maeneo yaliyoruhusiwa.

11. Zingatia alama na michoro ya barabarani.

90 of 97

91 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NGUZO KUU TANO ZA UDEREVA WA KUJIHAMI?

  1. KUTAZAMA

(EYE SCANNING)

92 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NGUZO KUU TANO ZA UDEREVA WA KUJIHAMI?

2. KUTAMBUA

(IDENTIFY)

93 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NGUZO KUU TANO ZA UDEREVA WA KUJIHAMI?

2. KUTAMBUA

(IDENTIFY)

94 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NGUZO KUU TANO ZA UDEREVA WA KUJIHAMI?

3. KUTABILI

(ANTICIPATE)

95 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NGUZO KUU TANO ZA UDEREVA WA KUJIHAMI?

4. KUAMUA

(DECIDE)

96 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

NGUZO KUU TANO ZA UDEREVA WA KUJIHAMI?

5. KUTEKELEZA

(EXECUTE)

97 of 97

UDEREVA WA KUJIHAMI

SIFA ZA DEREVA BORA

5

(EXECUTE)