SIKU AMBAYO MUNGU …
Mwanzo 1
Tumaini la Mataifa
SIKU YA 2�SIKU AMBAYO MUNGU ALIUMBA ANGA-WAKATI
Tumaini la Mataifa
Notsi za Darasa:
Mungu akasema, Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji. Mungu akalifanya anga, akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga; ikawa hivyo. Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili..
Mwanzo 1:6-8
Mungu akasema, Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji. Mungu akalifanya anga, akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga; ikawa hivyo. Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili.
Mwanzo 1:6-8
רָקִיעַ
rāqîaʿ
Uso ulioenea, upanuzi, anga
Lilionwa na Waebrania kama thabiti na lenyekushikilia maji juu
שָׁמַיִם
Šāmayim
Mbingu zinazoweza kuonekana, mbingu
Mtazamo wa Waebrania wa Kale Kuhusu Ulimwengu
Anga
Dunia
Mwanzo 1:6-8
Mungu akasema, Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji. Mungu akalifanya anga, akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga; ikawa hivyo. Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili.
Mwanzo 1:6-8
Anga hilo ni nini?
Fafanuzi Zinazowezekana Kuhusu Anga
Anga
Dunia
Mwanzo 1:6-8
Mfano wa Ulimwengu Wenye Mipaka
Nyota na sayari ziliumbwa katika Siku ya 4
Sisi tunaishi hapa.
Hakuna Mungu
Mjue Mungu
Nafasi (Space) ni Nini?
Imefanyizwa na nini?
Nadharia ya Aether
Nadharia ya Aether
Nguvu ya Mvutano
Biblia inaelezea mbingu kama kitambaa.
Umejivika nuru kama vazi;
Umezitandika mbingu kama pazia.
Zaburi 104:2
Yeye hutandaza kaskazi juu ya nafasi isiyo na kitu,
Na kuutundika ulimwengu pasipo kitu. Ayubu 26:7
Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa.
Isaya 40:22
Mungu BWANA anena, yeye aliyeziumba mbingu, na kuzitanda; yeye aliyeitandaza nchi na mazao yake Isaya 42:5
Mimi nimeiumba dunia, nimemhuluku mwanadamu juu yake; Mimi, naam, mikono yangu mimi, imezitanda mbingu, na jeshi lake lote nimeliamuru. Isaya 45:12
Ameiumba dunia kwa uweza wake,
Ameuthibitisha ulimwengu kwa hekima yake,
Na kwa ufahamu wake amezitandika mbingu. Yeremia 51:15
Mwaka 1915, Albert Einstein alichapisha Nadharia yake ya Jumla ya Uhusiano (General Theory of Relativity). Badala ya kitu kimoja kuvutwa na kingine kupitia aether, Albert Einstein aliona mvutano kama matokeo ya kupinda kwa anga. Alisema kwamba vitu vyote katika ulimwengu vimekaa juu ya kitambaa laini chenye vipimo vinne kinachoitwa anga‑wakati. Miili mikubwa kama vile jua hupindisha anga‑wakati livizunguke, na hivyo obiti ya dunia ni matokeo ya sayari yetu kufuata upinde huo.
Nadharia ya Anga-Wakati
Kama Mungu aliyatenga yale maji yaliyo juu ya anga kutoka yale maji yaliyo chini ya anga, je, hatupaswi kuona baadhi ya ushahidi?
Anga
Dunia
Ushahidi wa kuyatenga maji ya mbingu kutoka maji ya nchi.
Ushahidi wa kuyatenga maji ya mbingu kutoka maji ya nchi.
Mihiri
(Mars)
Ukanda wa Kuiper
Pluto
deuteriumu
tritiumu
neutroni
Heliumu
Muungano wa viini vidogo
Nyota
Maji H2O
Zaburi 148:3-4
Msifuni, jua na mwezi;
Msifuni, nyota zote zenye mwanga.
Msifuni, enyi mbingu za mbingu,
Nanyi maji mlioko juu ya mbingu
שָׁמַיִם shamayim
Mbingu moja, mbingu zaidi ya moja, mbingu (mf. ya mawingu)
"Waweza kuiinua sauti yako mpaka mawinguni,
ili wingi wa maji ukufunikize? Waweza kuutuma umeme, nao ukaenda, Ukakuambia, Sisi tupo hapa? Je! Ni nani aliyetia hekima moyoni? Au ni nani aliyetia ufahamu rohoni? Ni nani awezaye kuyahesabu mawingu kwa hekima? Au ni nani awezaye kuzimimina chupa za mbinguni? Ayubu 38:34-37
Mawingu ya Kumulusi
Mawingu ya Stratusi
Mawingu ya Nimbostratusi
Mawingu ya Cirusi
Mawingu ya Cumulonimbusi
Psalm 19:1
Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu,
Na anga laitangaza kazi ya mikono yake.
שָׁמַיִם shamayim
Mbinngu moja, mbingu zaidi ya
moja, mbingu (anga)
רָקִיעַ raqiya
Upana au tao linaloweza kuonekana la anga
SIKU YA 2�SIKU AMBAYO MUNGU ALIUMBA ANGA-WAKATI
Tumaini la Mataifa