1 of 34

SIKU AMBAYO MUNGU …

Mwanzo 1

Tumaini la Mataifa

2 of 34

SIKU YA 4�SIKU AMBAYO MUNGU ALITOA MSUKUMO WA KIBIOLOJIA & MCHEMRUKO WA UBUNIFU

Tumaini la Mataifa

Notsi za Darasa:

3 of 34

4 of 34

Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na kitu kiendacho chenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu. Mungu akaumba nyangumi wakubwa, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho, ambavyo maji yalijawa navyo kwa wingi kwa jinsi zao, na kila ndege arukaye, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.

Mungu akavibarikia, akisema, Zaeni, mkaongezeke, mkayajaze maji ya baharini, ndege na wazidi katika nchi. 23Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tano.

Mwanzo 1 : 20 - 23

SIKU YA 5

5 of 34

Kwa nini Mungu aliwaumba ndege?

  • Ndege hutoa chakula kwa binadamu na wanyama
  • Kinyesi cha ndege (guano) ni chanzo muhimu cha nitrojeni
  • Ndege husambaza mbegu na kuvu
  • Ndege ni waangamizaji wakali
  • Ndege ni wafanyakazi wa usafi
  • Na …

6 of 34

Msukumo wa Kibiolojia

Wao hutoa …

7 of 34

8 of 34

Msukumo wa Kibiolojia

9 of 34

Msukumo wa Kibiolojia

10 of 34

Msukumo wa Kibiolojia

11 of 34

Msukumo wa Kibiolojia

12 of 34

Msukumo wa Kibiolojia

13 of 34

Aina za Manyoya

14 of 34

King Fisher wa Tanganyika

Ndege Msafishaji wa Kiafrika

Korongo wa Domoo la Njano

15 of 34

Waangalieni ndege wa angani, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni huwalisha hao. Ninyi je! Si bora kupita hao? Mathayo 6:26

16 of 34

Je! Mashomoro wawili hawauzwi kwa senti moja? Wala hata mmoja haanguki chini asipojua Baba yenu.

Msiogope basi; bora ninyi kuliko mashomoro wengi.

Mathayo 10:29 & 31

17 of 34

Kwa manyoya yake atakufunika,

Chini ya mbawa zake utapata kimbilio;

Uaminifu wake ni ngao na kigao.

Zaburi 91:4

18 of 34

Bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia. Isaya 40:31

19 of 34

Mungu aliumba pia …

20 of 34

Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na kitu kiendacho chenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu. Mungu akaumba nyangumi wakubwa, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho, ambavyo maji yalijawa navyo kwa wingi kwa jinsi zao, na kila ndege arukaye, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.

Mungu akavibarikia, akisema, Zaeni, mkaongezeke, mkayajaze maji ya baharini, ndege na wazidi katika nchi. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tano.

Mwanzo 1 : 20 - 23

SIKU YA 5

21 of 34

Kwa nini Mungu aliwaumba samaki?

  • Samaki hutoa chakula kwa binadamu na wanyama
  • Hurekebisha mtandao wa chakula na ni viashiria vya kibiolojia (bioindicators)
  • Huchangia katika urejelezaji wa virutubisho na tabaka za chini ya maji
  • Hudhibiti magonjwa hatari, mwani, na viambajengo (kama mbu)
  • Samaki wa ganda na matumbawe husafisha maji kwa kuyachuja
  • Na huongeza …

22 of 34

Mchemruko wa Ubunifu

23 of 34

Samaki wa Cichlids wa Ziwa Tanganyika

Dagaa wa Ziwa Tanganyika

24 of 34

“Lakini sasa waulize hao wanyama, nao watakufundisha; Na nyuni wa angani, nao watakuambia; Au nena na nchi, nayo itakufundisha; Nao samaki wa baharini watakutangazia. Katika hawa wote ni yupi asiyejua, Kwamba ni mkono wa BWANA uliofanya haya? Ambaye nafsi ya kila kilicho hai i mkononi mwake,” Ayubu 12:7-10

25 of 34

…samaki ndani ya bahari,

na kila kitu kinachoogelea mikondo ya bahari.

Wewe, MUNGU, Bwana wetu

Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!

Zaburi 8

26 of 34

Mbingu na nchi zimsifu,

Bahari na vyote viendavyo ndani yake.

Zaburi 69:34

27 of 34

28 of 34

Mwanadamu ana jukumu hai alilopewa na Mungu katika mfumo wa ikolojia.

Majukumu Ambayo Mungu Amempa Mwanadamu

…kulingana na Mwanzo

29 of 34

Majukumu Ambayo Mungu Amempa Mwanadamu

…kulingana na Mwanzo

  1. Zaeni, mkaongezeke (ms. 1:28)
  2. Mkaijaze nchi, na kuitiisha (ms. 1:28)
  3. Mkatawale (mkamiliki) juu ya uumbaji (ms. 1:28)
  4. Kuilima nchi (2:5 & 2:15)
  5. Kuitunza (ms. 2:15)

30 of 34

Uwakili

  • Mathayo 25:14-30
  • Mtazamo wa uwakili kwa Mkristo unatumika kwa mambo yote ambayo Mungu ametubariki, ikiwa ni pamoja na …
  • Uumbaji Wake au mazingira.

31 of 34

Uwakili wa Mazingira

  • Leo, wanamazingira wa kisasa hufundisha kwamba asili haipaswi kuingiliwa.
  • Matokeo yake, wanamazingira wamekuwa kama yule mtumishi mwenye talanta moja.
  • Uwakili unahusisha kutumia rasilimali ili zidumu kwa vizazi vijavyo (endelevu).

32 of 34

Uwakili wa Mazingira

  • Uelewa wa tatizo pekee hautoshi. Mwanamazingira wa Kibiblia ataona kwamba maandiko matakatifu yanaeleza wazi juu ya kuwa mawakili wema wa zawadi ambazo Mungu ametupa, ikiwemo uumbaji wake.
  • Mwanamazingira wa Kibiblia atatafuta suluhisho kwa changamoto ngumu, suluhisho ambazo bado zitaruhusu mazingira yatumike kwa muundo na kusudi ambalo Mungu ameyapa.

33 of 34

Uwe Mwanamazingira wa Kibiblia

  • Mkristo bado anaweza kumtumikia Mungu kwa tukio kama hili.
  • Tunaelewa ya kwamba sisi ni mawakili wa kile ambacho Mungu ametupatia.
  • Tunatekeleza majukumu yetu tuliyopewa na Mungu.
  • Siyo kwamba tunakanusha kile ambacho hatimaye kitatukia kwa uumbaji.
  • Tunatazamia mbingu mpya na nchi mpya.

34 of 34

SIKU AMBAYO MUNGU …

Tumaini la Mataifa