1 of 21

Dr. Ramaa’s UNI Speeches

Today at

SUMAIT UNIVERSITY

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025

2 of 21

  • UNA MALENGO GANI DUNIANI BAADA YA LENGO LA KUUMBWA?

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025

3 of 21

Mimi binafsi nasema

  • Malengo makuu ni matatu tu.

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025

4 of 21

  • 1. Familia
  • 2. Makaazi
  • 3. Usafiri

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025

5 of 21

  • 1. Familia

a. Kuoa MKE SAHIHI

b. Kuolewa na MUME SAHIHI. Nadhani Ukikosa hili mawili utachelewa.

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025

6 of 21

  • 2. Makaazi

Nyumba ya kuishi ya kutosheleza familia.

Haijalishi unajenga wapi muhimu usalama.

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025

7 of 21

  • 3. Usafiri

Chombo bora kwa matumizi ya kifamilia.

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025

8 of 21

  • Baada ya hayo, mengine ni ya ziada tu na wala hayaumizi kichwa.

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025

9 of 21

  • Lakini sasa…

  • Kipato kinahitajika kuanzisha na kuendeleza yote hayo.

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025

10 of 21

  • Kwahiyo kumbe kazi inahitajika.

  • Kazi ni nini?

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025

11 of 21

  • Ni Shughuli itakayokuingizia kipato cha kusimamia malengo yako yote. (maana isiyo rasmi).

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025

12 of 21

  • Utapata wapi kazi?

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025

13 of 21

  • Ili upate kazi sharti Ufanye kazi.
  • Na ukipata kazi ifanyie kazi.
  • Usichezee kazi ukajakuona kazi kutafuta tena kazi.

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025

14 of 21

  • Ukiifanyia kazi kazi

…utapanda ngazi ya kazi.

…utapanda cheo cha kazi.

…utaongeza kipato.

TANBIHI:

Kazi iwe halali tu.

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025

15 of 21

  • Ukiongeza kipato,

…utaongeza malengo.

TANBIHI:

Muhim malengo yawe shihi.

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025

16 of 21

  • JE NI NANI TEGEMEZI LAKO?
  • Ni yule mwenye pumzi za uhai wako.
  • Zidisha kumwomba kisha uwe na watu.

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025

17 of 21

  • SUBRA/UVUMILIVU
  • Kwa watakaokupenda.
  • Watakaokuchukia.
  • Na wale bendera.

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025

18 of 21

  • Kisha kua na msimamo lakini msimamo sahihi.

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025

19 of 21

MWISHO

ENDELEA KUISHI

  • Lakini usisahau kua umri wako unazidi kupungua.

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025

20 of 21

  • Kwahio andaa wanao kwa ajili ya maisha yako ya uzeeni na utakapokua kaburini.

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025

21 of 21

Ahsanteni kwa kunisikiliza

Ukiyataka haya search google kwa kuandika

Dr. Ramaa (Abuu Haarith)

Au tumia link hii

dr-ramaa.blogspot.com

Dr. Ramaa’s Speeches

2024/2025