Fomu ya kuweka oda ya mbegu za Mbaazi, Choroko, Dengu, Kunde, Maharage n.k
Formu hii ni maalumu kwa wadau na wakulima wanaozalisha mazao jamii ya mikunde Tanzania. Formu hii ni kwa ajili ya wale wanaohitaji MBEGU BORA, masoko na ushauri wa kitaalamuna BASHARA pamoja na kuunganishwa na mitandao ya wajasiriamali wengine wa mazao hayo.. Taarifa hizi pia zitatumika kutoa order kwa makampuni na vituo vya utafiti na pia maeneo na ukubwa wa mashamba utatumika katika kukisia mavuno ambapo tutatumia taarifa hizo kutafuta soko la hakika la mazao lengwa.

Fomu hii metayarishwa na Tanzania Graduate Farmers Association-TGFA kwa kushirikiana na Kilimo Business and Associates ili kukusanya taarifa muhimu za wanachama wa TGFA na wadau ambao wamenunua na wataagiza mbegu bora za mazao jamii ya mikunde kama MBAAZI, DENGU, CHOROKO, NGWARA. Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa 0718664645 ama 0789856246 ama 0753843321 ama 0713727565 ama 0754855434 email: infor@graduatefarmers.co.tz ama kilimobiznet@gmail.com

Taarifa hizi ni siri na zitabakia kwa matumizi tu ya kilimo Biashara na si vinginevyo hivyo kuwa huru.
Jina Kamili *
Your answer
Jinsia
Jina la Biashara ama Kampuni
Your answer
Eneo ama mahali mradi ulipo (anzia Kijiji, Kata, Wilaya na Mkoa) *
Your answer
Namba yako ya (za) Simu *
Your answer
Barua pepe/ email
Your answer
Je wewe ni mwanachama wa Makampuni ama Taasisi hizi
Mazao uliyopanda msimu wa 2016 *
Required
Je msimu wa mwaka 2016/2017 ( september 2016-March 2017) unatarajia kuotesha mazao gani?
Ni eneo la ukubwa kiasi gani unatarajia kuotesha mazao hayo? Orodhesha kama zao zaidi ya moja
Your answer
Je utahitaji mbegu kiasi gani kutokana na hayo mazao?
Your answer
Tafadhali sema huduma gani ingine ya ushauri tofauti na kukunga na soko, kukuhakikishia mbegu na ushauri unapata n.k
Your answer
Submit
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service - Privacy Policy