JavaScript isn't enabled in your browser, so this file can't be opened. Enable and reload.
Kiswahili class 8 2014
Read the questions below and answer all of them.
Sign in to Google
to save your progress.
Learn more
26. Gugu ni nyasi ndefu zinazomea katika sehemu tambarare, gugu pia ni _________________
1 point
A. Mmea unaotambaa kote shambani
B. Mmea unaobana mingine shambani
C. Mmea unaomea pale pasipopaliliwa
D. Mmea unaomea mahali usipotakikana
Other:
Clear selection
27. Chagua jibu kenye maelezo sahihi
1 point
A. Mjumu ni fundi wa kufua visu
B. Sogora ni bingwa wa kuimba mashairi ngomani
C. Dalali hushindania bidhaa mnadani
D. Mkalimani hutafsiri maandishi vitabuni
Clear selection
Option 1
Clear selection
Sentensi ' Jedi ni ninga' imetumia tamathali gani?
1 point
A. Msemo
B. Tashbihi
C. Sitiari
D. Nahau
Clear selection
29. Arbuni ni_______________________
1 point
A. Sehemu ya bei ya kitu inayotolewa mwanzoni
B. Sehemu ya ujira wa kumsaidia mtu mwanzoni
C. Sehemu ya fidia anayolipwa ntu mwanzoni
D. Sehemu ya malipo ya kupokea kitu mwanzoni
Clear selection
30. Methali 'Kamba ya mbali haifungi kuni', kwa wanaotegemea msaada wa walio mbali. 'Maji ya kifuu bahari ya chungu', ni kwa:
1 point
A. Anayeiona hadhi ya vitu kuwa ya chini
B. Anayeyaona matatizo ya wengine kuwa madogo
C. Anayeziona hali za wengine juwa za kawaida
D. Anayevioba vitu vidogo kuwa na faida chache
Clear selection
Submit
Clear form
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. -
Terms of Service
-
Privacy Policy
Does this form look suspicious?
Report
Forms
Help and feedback
Contact form owner
Help Forms improve
Report