Karibu kwenye warsha maalum ya uwekezaji kwa jailli ya biashara zinazokua, warsha hii itafanyika siku ya Alhamisi 18 November 2021, Ndoto Hub Arusha. Gharama ya kushiriki ni Sh. 50,000 kwa mtu mmoja, Unaweza kufanya malipo yako kwa kutumia LIPA Namba 5127907 (Ndoto Hub) Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0742904152. *
Unaweza kufanya mhamala mmoja wa malipo kwa idadi ya watu utakaohudhuria nao