Kongamano la vijana wabunifu
ENGLISH BELOW ||

Siku 2 za kongamano la vijana wabunifu, utapata suluhisho la biashara yako katika kuendeleza na kukuza usawa wa mfumo wa chakula jijini Arusha. Pamoja na washiriki wapatao 200, utagawanywa kwenye makundi ili kufanyia kazi mawazo mapya ya biashara zikiwa na kauli mbiu 3-4 ambazo vyanzo vyake vimetokana na jamii husika.

Unaweza kushiriki kwenye kongamano la vijana wabunifu endapo;
- Wewe ni binti au kijana mwenye umri kati ya 18-35,
- Unatoka katika vijiji au maeneo yanayozunguka jiji la Arusha,
- Unashahuku ya kuanzisha biashara binafsi hasa kwenye sekta ya chakula, na
- Utakuwepo kwa siku m bili mfululizo kuanzia tarehe 27 hadi 28 agosti.

Jaza fomu hii, mpaka kufikia tarehe 12 Agosti 2020. Endapo unakutana na changamoto katika kujiandikisha tafadhali wasiliana na Hilda Okoth kupitia hilda.okoth@rikolto.org au kwa simu nambari 0710 73 05 77.

--------
Are you ready for the 2-day Generation Food Hackathon? You will unlock business solutions for a sustainable and fair food system in Arusha. Together with around 200 participants, you will be divided into groups to
work on new business ideas on 3-4 themes that will be crowd-sourced by the community.

You can join the Generation Food Hackathon if
- you are a young woman or man between 18 and 35,
- you come from a rural or urban area in and around Arusha City,
- you have a strong interest in developing your own business in the food sector, and
- you are available two days from 27 to 28 August.

Fill in this online registration form by 12 August 2020. If you experience trouble
registering online then please contact Hilda Okoth via hilda.okoth@rikolto.org or 0710 73 05 77.
Email address *
Next
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service - Privacy Policy