Fomu ya maoni ya University Students Wikimedians 2022/2023.
Habari,
Karibu katika fomu ya maoni juu ya mradi wa University Students Wikimedians.
Lengo la fomu hii ni kukusanya maoni ya washiriki wa mradi ilikuweza kuboresha pale panapotakiwa katika duru ya pili inayotarajiwa kuanza mwanzoni mwa mwaka 2023.

Kumbuka, fomu hii ina kipengele cha kukusanya taarifa lakini SIO LAZIMA kujaza taarifa hizi na unaweza kuruka hatua hiyo kama usingependelea kujaza kwa kubonyeza Next. Kwa kuzingatia usalama na faragha ya myumiaji, taarifa binafsi zitatumika kwa matumizi ya ofisi pekee (Haswa katika kuwasiliana na wewe kwa maoni zaidi) na si vinginevyo. 

Jisikie huru katika ujazaji wa fomu hii na kuwa hakuna atakaehoji maoni yako katika hali ya hasi wala chanya.

Kwa msaada au maoni tuandikie: 
Barua pepe: hello@uswiki.africa   au pc@uswiki.africa 
Simu: +255685261018

Karibu.
Sign in to Google to save your progress. Learn more
Next
Clear form
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service - Privacy Policy