3. Je? Ni Kwa kiasi gani unaridhishwa na huduma za Baraza zinazopatikana kwa njia ya mtandao? Huduma: Maombi ya wafamasia watarajali, Maombi ya mitihani ya wanataaluma, Uhuishaji wa majina kwenye rejesta ya usajili, mfumo wa mafunzo endelevu kwa wanataaluma, huduma ya malipo kwa njia ya mtandao, huduma ya simu bila malipo. *