Dodoso la Biashara
Tangazo la Haraka na Msaada

Jina langu ni Irwin Binamungu. Hivi karibuni tutafungua milango ya jukwaa la Miliki Kuu ya Tanzania; linaloitwa Kiriza. Itaanza kutumika baada ya miezi michache. Lakini kabla ya kuanza matumizi, ningependa nikuulize maswali machache. Unaweza kunisaidia?

Unaweza kushiriki kwa kujaza maswali machache. Majibu yako yote yatatuzwa kwa siri. Tunakusanya hizi taarifa tuweze kujua biashara yako vizuri ili upate jukwaa linaloendana na mahitaji ya biashara yako.

Jiunge kwenye Mawasiliano ya Kiriza kwenye Telegram kupitia Kiriza Rasmi (t.me/kiriza_sw) kwa Kiswahili na Kiriza Official (t.me/kiriza_en) kwa Maongezi ya Kiingereza.

Asante Sana na Siku Njema.
Irwin Binamungu,
Muanzilishi wa Kiriza


Next
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service