Taarifa za Sehemu
Habari,
Dodoso hili fupi limetengenezwa ili kupata taarifa kuhusu sehemu tofauti za nchi yetu Tanzania. Tutakusanya taarifa hizi na kutengeneza ripoti itakayomsaidia mtu anayehamia aweze kujua kuhusu eneo unaloishi. Tunakuomba utusaidie kutoa taarifa hizi, kwa sababu na wao watakusaidia na taarifa kuhusu eneo walipotoka.

NB: Vigezo na Masharti kuzingatiwa. Taarifa hizi zinatunzwa kwa siri na zinatumika tu kwa ajili ya mahitaji yaliyotajwa hapo mwanzo. Ikitokea kuwa una hofu na majibu uliyoyatoa na ungependa yafutwe, tutayafuta ndani ya siku tatu za kazi.

Jiunge kwenye Mawasiliano ya Kiriza kwenye Telegram kupitia Kiriza Rasmi (t.me/kiriza_sw) kwa Kiswahili na Kiriza Official (t.me/kiriza_en) kwa Maongezi ya Kiingereza.


Asante Sana na Siku Njema,
Irwin Binamungu
Raisi na Mwanzilishi wa Kiriza.

Next
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service