Voice of Encouragement Tanzania(VET) Fomu ya maombi ya kujiunga na mafunzo ya uongozi kwa mabinti.
Je, wewe ni binti mwenye umri wa miaka 13-24, na unasoma shule ya sekondari au chuo kutoka mkoa wa Morogoro au Tanga ? kama ndiyo , Jaza fomu hii kwa kufuata maelekezo,

Mwisho wa kutuma maombi 31, Julai 2019.


Email address *
Majina yako matatu *
Tarehe/ mwezi /mwaka wa kuzaliwa *
MM
/
DD
/
YYYY
Sanduku la barua
Namba ya Simu *
Je.una ulemavu wowote? *
Kama jibu ndiyo, fafanua *
Shule unayosoma/ Chuo unachosoma (Kata sehemu isiyokuhusu) *
Kidato/ Mwaka uliopo. (kata sehemu isiyokuhusu)
je, umewahi kushika nafasi yoyote ya uongozi kuanzia ngazi ya familia hadi Taifa?
Eleza kwa kifupi Historia yako (Ukizingatia nafasi za uongozi ulizowahi kushika)
Je, nini matarajio yako ikiwa utapata nafasi ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi katika ngazi uliyopo?
Maoni yako.
A copy of your responses will be emailed to the address you provided.
Submit
Never submit passwords through Google Forms.
reCAPTCHA
This content is neither created nor endorsed by Google. - Terms of Service - Privacy Policy