TAFADHALI SOMA KWA UMAKINI NA TOA TAARIFA SAHIHI ILI TUKUFIKIE HARAKA/PLEASE READ ATTENTIVELY AND PROVIDE CORRECT INFORMATION SO WE CAN REACH YOU FASTER
Sera za Faragha za Taarifa zako/Privacy Policy on Your Data π
https://tunzaa.co.tz/sw/privacy-policyTunzaa+ ni nini?
Tunzaa+ ni aplikesheni ya simu za Android na iOS inayowawezesha wafanyabiashara kuuza bidhaa na huduma kwa watumiaji zaidi ya 10,000 nchini Tanzania wanaonunua kidijitali kwa usalama na kwa kulipa kidogo kidogo. Salama na rahisi kutumia.
What is Tunzaa+?
Tunzaa+ is an iOS & Android app that empowers vendors with selling goods & services to over 10,000 customers in Tanzania who are buying online safely and by paying in small installments. Safe and easy to use.
π₯³π