KITU BOMBA KWA KIJANA- FURSA ZA AJIRA
FURSA ZA AJIRA
Aina ya kazi: Mshauri wa Uendelezaji Biashara Ndogo
Idadi ya nafasi: 225 kila Halmashauri

Sifa za mwombaji:
1. Awe kijana, raia wa Tanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 hadi 35.
2. Awe muhitimu wa fani yoyote katika ngazi ya stashahada, shahada na kuendelea.
3. Awe mkaazi wa halmashauri husika.

Mahitaji ya kukuwezesha kuanza kazi:
1. Kitambulisho cha taifa, mpiga kura, udereva au hati ya kusafiria.
2. Kuwa na wadhamini wawili wanaoaminika.
3. Kusajili laini maalum na kuhodhi data.
4. Kuwa na simu aina ya smart yenye uwezo wa kupiga picha bora na kuchukua taarifa za mteja.

Waombaji watakaoitwa kwenye usaili wataarifiwa.
Usaili utafanyika kwenye halmashauri husika.
Mwombaji anatakiwa kufika kwenye usaili akiwa na vyeti halisi vya fani aliyosomea, pamoja na barua ya uthibitisho  wa makazi kutoka ofisi za serikali ya mtaa/ Kijiji anakoishi.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30 Novemba 2018

Fursa za Ajira
First Name *
Middle Name *
Surname Names *
Gender *
Age *
Nationality *
Mobile Number *
Mobile Number
Recent - Residence Region *
Recent - Residence District *
Origin - Residence Region *
Origin - Residence District *
Academic Qualifications *
Required
Name of University/ College Completed (The highest level) *
Course Completed *
Contact Person (Three Full Names) *
Contact Person (Mobile Number) *
Contact Person  Email (Option)
Submit
Clear form
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. - Terms of Service - Privacy Policy

Does this form look suspicious? Report