Asante sana kwa kufikiria kujiunga na Mradi wa Lingua!
Mradi wa Lingua wa Global Voices unakuza habari zinazoandikwa duniani kote na waandishi wa kujitolea wakishirikiana na wafasiri. Mradi huu unafungua mlango wa mawasiliano kati ya wanablogu na wasomaji wa mtandao wa Global Voices wasiozungumza Kiingereza kwa kutafsiri maudhui hayo katika lugha 30.

Tunakaribisha watu wanaoweza kujitolea kutafsiri maudhui haya kuwa moja wapo ya lugha zetu, au hata kushirikiana na waandishi wetu kuandika habari, Kama wewe si mtafsiri, kuna namna nyingi zaidi unazoweza kusaidia!

Tuna jamii ya watu wanaojitolea zaidi ya 500 duniani kote. Ili kujiunga na timu yetu, unachohitaji kufanya ni kujaza fomu hii ya maombi. Mhariri anayehusika anawasiliana na wewe kwa hatua zinazofuata.


Barua pepe *
Your answer
Jina la kwanza *
Your answer
Jina la Ukoo *
Your answer
Unaishi Nchi gani?
Your answer
Ulisikiaje kuhusu Global Voices? *
Your answer
Lugha za asili *
Lugha unazoweza kutafsiri
Required
Lugha ya mama *
Lugha yako ya mama na lugha nyingine ambazo una uwezo wa kutafsiri
Required
Kushirikiana kama Mtafsiri
Hakuna sifa rasmi za kitaaluma au uzoefu wa chini unaohitajika.
Makala ngapi unaweza kututafsiria kwa mwezi? *
Unaweza kutafsiri sana au kidogo kadri unavyoweza, kulingana na muda na ari yako!
Your answer
Uzoefu wa Kutafsiri
Kama unao; pia tunakaribisha wanafunzi na sio watafsiri wenye uzoefu wanaopenda kujifunza
Your answer
Mambo unayopenda
Dini zipi za dunia, nchi, masuala, mada ambazo unavutiwa nazo, kama zipo?
Your answer
Namna Nyingine za Kushikiana
Kuna mengi unayoweza kufanya zaidi ya kutafsiri ili kuifanya jumuiya yetu iendelee!
Ninaweza kusaidia na
Mafunzo yatatolewa inapobidi na msaada hutolewa wakati wote
Masaa mangapi kwa mwezi unaweza kuyatoa kwa mradi huu?
Unaweza kutoa muda mwingi au mdogo kadri unavyopenda, na pia unaweza kubadilisha kadri inavyowezekana!
Your answer
Kublogu na Mitandao ya Kijamii
Kama unayo blogu au ni mtumiaji wa mitandao ya kijamii, tafadhali tujulishe ili tuhakikishe uko kwenye darubini zetu!
Blogu yako (zako)
Your answer
Anuani yako ya Twita
Yetu ni @globalvoices
Your answer
Wasifu wako wa Facebook
Your answer
Nyinginezo...
(Google+, Flickr, YouTube, nk)
Your answer
Submit
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google.