Google Fomu

Aina ya matumizi mabaya:

Sera yetu kuhusu uchi

Haturuhusu kushirikiwa au kuchapishwa kwa maudhui yanayoonyesha uchi, vitendo dhahiri vya ngono, au maudhui mengine wazi ya ngono. Pia haturuhusu maudhui yanayoelekeza watumizi hadi katika tovuti za ufuska au kuendeleza ngono na watoto, kujamiiana kwa maharimu au na wanyama.

Tuna sera ya kutostahimili hata kidogo maudhui yanayowadhulumu watoto. Hii ina maana kuwa tutafuta akaunti ya mtumiaji yeyote tunayempata akishiriki au kuchapisha maudhui yanayoonyesha unyanyasaji wa ngono dhidi ya watoto. Sisi pia tutaripoti maudhui haya na anayemiliki maudhui haya kwa watekelezaji wa sheria.

Pia haturuhusu kushiriki au kuchapisha kwa maudhui ambayo yanahimiza au kuendeleza kuchochea ngono na watoto.