Machi 6 - 8, 2026 Dallas, TX
HOTEL INFORMATION:
(Taarifa za Hoteli):
Holiday Inn Hotel Dallas - Richardson
1655 N. Central Expressway
Richardson, TX 75080
Check In Time: 3pm
Check Out Time: 12pm
Check In Age: 21 years
Please use the link and discount below to reserve your hotel room. (breakfast included)
Tumia kiungo na code hapa chini kupata chumba chako kwa punguzo la bei. (Bei ni pamoja na kifungua
Code: UMO
Unfortunately, transportation to/from the airport, bus or train station will not be provided. Please plan accordingly.
Hatutaweza kutoa usafiri kutoka kituoni mpaka hotelini kwa wageni watakaohudhuria. Tafadhali fanya mipango yako ya usafiri mapema.
IMPORTANT:
MUHIMU:
Please take a moment to register if you plan to attend.
Attention: Please read and answer carefully
Tafadhali jisajili ili kuhudhuria kongamano
Angalizo: Tafadhali soma na jibu kwa uangalifu
For any inquiries, please contact us at the numbers below
(WhatsApp or Text only)
Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba zifuatazo
(WhatsApp au ujumbe was simu)
Angela Verah:
+65 8161-8194 (Whatsapp Only)
Jessica Kataraihya:
+1 (214) 773-6697
Mch. Elisa Mangesho:
+1 (918) 850-8655
(WhatsApp/Text only)
Click Next to start the registration process