kiswahili 02
Sign in to Google to save your progress. Learn more
(i) Wanafunzi wa kidato cha nne walibishana kuhusu alama itakayotumika ili kuiwezesha sauti “ng” iweze kusomeka kwa namna mbili tofauti. Ukiwa ni mwanafunzi uliyemuelewa mwalimu wako watajie wenzako jina la alama hiyo.
10 points
Clear selection
(ii) Arhaan alisoma kamusi ya Kiswahili akagundua kuwa kuna baadhi ya maneno si ya lugha hiyo bali yamechukuliwa kwenye lugha nyengine. Je Arhaan ni msomi wa taaluma gani?
10 points
Clear selection
(iii) Daud aliandika maneno “Mpendwa mama” upande wa kushoto chini ya mstari wa tarehe. Je
maneno hayo ni sehemu gani ya muundo wa barua ya kirafiki?
10 points
Clear selection
(iv) Mzee Borakupata alikuwa akimtetea mtoto wake ambaye ni mhalifu, hatimaye mtoto wake
akauwawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kukutwa akivunja duka la Bwana Feisal.
Ni methali ipi inafanana na maelezo haya?
10 points
Clear selection
(v) Uzito umemzidi mofimu iliyokolezwa wino inafanya kazi ya

10 points
Clear selection
(vi) Mwalimu aliwasimulia wanafunzi wake hadithi ambayo ilionesha maovu yaliyotendeka katika jamii na kuwaeleza maadili mazuri yanayofaa kufatwa ili kujenga jamii bora. Je mwalimu
alisimulia aina gani ya hadithi?
10 points
Clear selection
vii)Kama ilivyo kwenye viambishi awali kuwa vinakazi nyingi viambishi tamati vijenzi pia huwa na kazi mbalimbali, miongoni mwa kazi hizo ni hizi zifuatazo isipokuwa.
10 points
Clear selection
viii) Walikuwapo watu wawili waliyozungumza lugha mbili tofauti, watu hawa waliweza kuishi
pamoja kwa muda mrefu sana kutokana na msaada wa lugha ya kati waliyoizusha. Lugha hii
ya kati huweza kuitwa?
10 points
Clear selection
ix) Waandishi wa kazi ya fasihi hupenda kutumia wahusika katika kueleza tabia mbalimbali za
binadamu. Ni wahusika wapi kati ya hawa wafuatao wana tabia ya kuigwa.
10 points
Clear selection
x) Ni maneno ambayo huzushwa na kikundi cha watu fulani na baadae hupotea yale yanayokaa
kwa muda mrefu husanifishwa na kuwa lugha rasmi.
10 points
Clear selection
Submit
Clear form
This content is neither created nor endorsed by Google. - Terms of Service - Privacy Policy

Does this form look suspicious? Report