Application Form for the East African Creative Music Campus (Fomu ya maombi ya mafunzo ya muziki ya East Africa Creative Music Campus)
Please fill out the following application form to the best of your abilities. Please be as accurate as possible. It will not count against you if you have no experience. We would just like to know what you have done to date. Tafadhali jaza fomu hii kwa kadri unavyoweza. Tafadhali jitahidi uwe sahihi kadri unavyoweza. haijalishi kitu kama hauna uzoefu wowote
Email *
Full Name/Jina kamili *
Telephone Number/Nambari ya Simu *
Gender/Jinsia *
Age in years/Umri *
Which instrument/voice do you play/Unapiga chombo gani *
How long have you been playing for (number of years) Umekuwa ukipiga kwa Muda gani (idadi ya miaka) *
Did you study music? If so please give details of where you studied and what qualification you received if you finished your studies/ Umesomea muziki? Kama ndio, Tafadhali tao maelezo wapi ulisoma *
Please tick your level of reading music (this is just to find out your skill level, it will not count against you)/Tafadhali weka alama ya kiwango chako katika kusoma muziki (hii ni kwajili ya kujua kiwango chako na sivinginevyo) *
If you are already working as a musician please indicate what experience you have playing in bands etc./Ikiwa Fahari unafanyakazi Kama mwanamuziki, Tafadhali tupe uzoefu wako katika kupiga muziki na bendi *
If you teach music or have taught music please indicate where (which institutions or private teaching). Please indicate what you taught as well/ Kama unafundisha au ulishawahi kufundisha muziki, tafadhali eleza (taasisi gani au Watu binafsi). tafadhali eleza Masomo uliyofundisha *
Do you have your own instrument or regular access to one? Je unamiliki chombo cha muziki au unafursa ya kutumia chombo cha muziki mara kwa mara? *
If you play more than one instrument please indicate which other instruments as well as your level (this also includes Traditional instruments) Kama unapiga chombo Zaidi ya kimoja, tafadhali vitaje vyote na kiwango chako cha upigaji wa vyombo hivyo *
Please tick your level of English (this is just to establish whether an interpreter will be necessary) Tafadhali, weka Vema juu ya uwezo wako wa Kiingereza (ili kujua Kama kutakuwa na haja ya mfasili) *
Please explain in a few words why music is important to you and why you started playing music/ Tafadhali eleza kwa kifupi kwanini muziki ni muhimu kwako na kwanini ulianza kupiga muziki *
Please explain in a few words why you want to take part in the East African Creative Music Campus/Eleza kwa kifupi, kwanini unataka kuwa sehemu ya kampasi ya Muziki Bunifu ya Afrika Mashariki *
Are you able to attend the full Campus between the 12th of July and the 31st of July in Addis Ababa, Ethiopia/Je utaweza kuhudhuria kampasi kuu ya muziki itakayofanyika kuanzia Julai 12 mpaka Julai 31, 2020 mjini Addis Ababa, Ethiopia? *
Submit
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service - Privacy Policy