JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA
TAASISI YA ELIMU TANZANIA
FOMU YA KUKUSANYA MAONI JUU YA UBORESHAJI WA MITAALA YA ELIMU
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania imefungua jukwaa la wadau wa elimu kuhusu uboreshaji wa mitaala ya ElimuMsingi. Lengo kuu ni kupokea maoni ya wadau wa elimu yatakayosaidia kuboresha mitaala ya ngazi ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari nchini. Kama mdau wa Elimu unaombwa kutoa maoni yako kupitia fomu hii.
Jina kamili (sio lazima)
Namba ya Simu (sio lazima)
Taasisi unayotoka (sio lazima)
Mkoa *
Maoni kuhusu mtaala wa Elimu ya awali
Mapendekezo
Maoni kuhusu mtaala wa Elimu ya Msingi
Mapendekezo
Maoni kuhusu mtaala wa Elimu ya Sekondari
Mapendekezo
Maoni ya Jumla
Submit
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service - Privacy Policy