NAFASI​ ​ART​ ​SPACE​ ​–​ ​MEMBERSHIP​ ​ APPLICATION​ ​FORM
Nafasi Art Space is non-profit Contemporary Art Centre in Tanzania that provides a platform for artists through development, production and entrepreneurship in the Visual and Performing Arts by providing training, exchange, and exhibition of experimental arts locally, regionally, and beyond.

Nafasi Art Space ni shirika lisilo la kiserekari, linaloendesha shughuli za sanaa zisizo za kifaida nchini Tanzania kwa malengo ya kutoa jukwaa kwa wasanii kuzalisha na kuendeleza sanaa za kisasa, na ujasiriamali katika sanaa za maonyesho kwa njia ya kutoa mafunzo, kubadilishana utalaamu wa ubunifu na maonyesho ya sanaa ya majaribio ndani ya nchi, kanda na kimataifa.

What​ ​we​ ​offer​ ​/​ ​Faida​ ​za​ ​Uanachama
The Membership at Nafasi offers use of Nafasi facilities (library/resource room, exhibition hall, performance stage etc), the opportunity to take part in Nafasi organized events (trainings, workshops), access to working space (studio and/or outside space), and opportunities for art exchange programmes within East Africa and beyond.

Mwanachama wa Nafasi Art Space atapata fursa ya kutumia miundombinu bure ikiwemo maktaba ya vitabu, kompyuta na chumba cha maonyesho, fursa ya kushiriki kwenye mafunzo na warsha mbalimbali za sanaa, kupata nafasi (studio) ya kuendesha shughuli za sanaa (nje) na pia kupata fursa ya kushiriki kwenye mabadilishano ya sanaa (Artist in Residence Program) ndani ya Afrika mashariki na kimataifa.

Who​ ​can​ ​apply?​ / ​Nani​ ​anaweza​ ​kutuma​ ​maombi?
Performing and Visual artists at any point in their career, and working in any medium (music, dance, theatre, painting, sculpture, mixed media, video, photography, installations, and others) are welcome to submit an application. Female artists have an added advantage. Please note that as there are currently no studio spaces, all applicants will be considered for GENERAL membership only. In the event that studio spaces become available, we will review applications on file of existing general memberships first, then non-member applications.

Selected new members will be expected to pay membership dues from 30,000 - 70,000 tsh per month (depending on studio size), and 25,000tsh for general membership.

Wanachama wapya wanatakiwa kulipa ada ya wanachama 30,000 - 70,000 tsh kwa mwezi kulingana na ukubwa wa studio, na 25,000 tsh/mwezi kwa “general membership”.

How to Apply
We prefer online applications but also accept hard copies.

Please submit this online form and send your attachments to membership@nafasiartspace.org with your name and MEMBERSHIP APPLICATION in the subject line.

If you would like to submit a hard-copy application, please save and download this document and deliver it (along with portfolio/work example attachments) to Nafasi’s physical address below:

Tafadhali rudisha fomu hii ya maombi yako ofisi za Nafasi Art Space Mikocheni B, na kwa wasanii wanaotoka nje ya Dar es Salaam wanaweza kutuma kwa barua pepe au sanduku la posta hapo chini (tunapokea maombi yako moja kwa moja kupitia barua pepe/mtandao):

Nafasi Art Space, For further info, contact: P.O.Box 31715, Email: info@nafasiartspace.org
Light Industrial Road, Mikocheni B, Plot no 41 Tel: +255 (0) 673 334 314

A. Personal​ ​Details​ / ​Maelezo​ ​Binafsi
Please fill in your personal details below / Tafadhali jaza maelezo yako binafsi hapa chini
Full Name/Jina kamili: *
Your answer
Artist Name (Optional)/Jina la kisanii:
Your answer
Date of birth / Tarehe ya kuzaliwa: *
MM
/
DD
/
YYYY
Nationality/Uraia: *
Your answer
Gender/Jinsia: *
Required
Postal/Physical address/Mahali unapoishi: *
Your answer
E-mail address/Barua Pepe: *
Your answer
Mobile phone/Namba ya simu: *
Your answer
Website
Your answer
Social Media Pages (Facebook / Instagram)
Your answer
Links to published articles or press
Your answer
B.​ ​Type​ ​of​ ​membership / Aina Uanachama
C.​ ​Your​ ​artistic​ ​Information​ ​/​ ​Taarifa​ ​zako​ ​za​ ​Kisanii:
Please fill in your artistic information below / Tafadhali jaza tarifa zako za kisanii hapo chini
1. Please provide a brief description (artist statement or artist biography) about your arts practice such as working method, what inspires you, what motivates you as an artist, etc (max 200 words). Please include if you are an individual artist or you are a member of a performing arts group (such as a band). / Tafadhali toa maelezo ya kutosha juu uendeshaji wa shughuli zake za sanaa. Maelezo hayo yajumuishe njia unazotumia kufanya kazi zako za sanaa, vitu vinavyokuvutia na kusukuma hisia zako kufanya sanaa. Tafadhali elezea kama wewe ni msanii wa kujitegemea au kikundi chasanaa (mfano; bendi). *
Your answer
2. Are you a self-taught artist or trained professional? / Je wewe ni msanii wa kujifunza mwenyewe au umepata mafunzo maalum ya sanaa? *
3. If trained professionally, please specify institutions and nature of programme undertaken. / Kama ulipata mafunzo maalum ya sanaa, tueleze ni taasisi gani na mafunzo hayo yalikuwa ya aina gani *
Your answer
4. How long have you been practicing as an artist? / Kwa muda gani umejishughulisha katika shughuli za sanaa? *
Your answer
5. Is art your only source of income? / Je sanaa ni njia yako pekee ya kujiingizia kipato ili kujimudu kimaisha? *
6. If No, how do you earn your income? / Kama hapana, tueleze shughuli zako nyingine zinazokuingizia kipato nje ya sanaa? *
Your answer
7. How much of your time do you spend on your art and job? / Mgawanyo wa muda unaotumia kwenye shughuli za sanaa na shughuli zako nyingine? *
Your answer
8. Why would you like a Studio space at Nafasi Art Space (max 200 words) / Kwanini ungependa kuwa mwanachama wa studio Nafasi art Space? (Andika faida binafsi ambazo wewekama msanii utafaidika kwa kuwa mwanachama wa Nafasi) *
Your answer
9. How do you think this engagement will benefit you and others in the future? / Je ni manufaa yapi utachangia kwa wasanii wenzako endapo utakuwa mwanachama wa Nafasi? *
Your answer
10. Where did you find out about Nafasi Art Space? / Je ulisikia wapi kuhusu Nafasi Art Space? *
Your answer
D.​ ​ ​References
Please give the Name, Telephone Number & Email of 2 referees who could provide us with information about your practice in support of this application. / Tafadhali toa majina mawili na namba za simu na barua pepe za watu watakaoweza kudhibitisha juu maelezo nashughuli zako za kisanii (Anaweza kuwa mwalimu wako au msanii mwenzako anayekufahamu vizuri). *
Your answer
E.​ Artistic CV
1. ​Please​ ​type or copy/paste your Artist CV / CV yako ya kisanii: *
Your answer
2. For PERFORMING ARTISTS (please insert LINKS below): 2-5 videos or MP3 files of your performance(s) totalling up to 25-30 minutes, and 3-5 images/photos / Kwa WASANII WA SANAA ZA MAONYESHO; video 2-5 au MP3 ya onyesho au kazi yako yenye dakika 25-30 pamoja na picha 3-5 (tafadhali tumia mawasiliano hapo chini): *
Your answer
3. For VISUAL ARTISTS (please insert LINKS to website, a google drive or dropbox folder here): At least 10 images of your work. FILES not to be larger than 2 MB. / Picha (vivuli) 10 za kazi zako isiyozidi 2MB. *
Your answer
Thank you for your application!
Nafasi Art Space, For further info, contact: P.O.Box 31715, Email: info@nafasiartspace.org
Light Industrial Road, Mikocheni B, Plot no 41 Tel: +255 (0) 673 334 314
Submit
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service