FOMU YA TATHMINI HUDUMA YA KLINIKI YA BIASHARA
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) ilitoa huduma ya Kliniki ya Biashara kwenye Maonesho katika Mikoa sita (6) Dar es Salaam, Geita, Singida, Simiyu, Pwani na Zanzibar ambapo uchunguzi wa afya ya biashara na changamoto zinazokabili biashara zilitatuliwa. Hivyo, unaombwa kujaza fomu ya tathmini ili kupata mrejesho wa utatuzi wa changamoto ulizowasilisha kwa hatua zaidi.
Next
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service - Privacy Policy