Fomu ya kujiunga na programu ya COSTECH
Fomu ya Maombi itajazwa kwa njia ya kielektroniki.

Kutuma maombi, unachohitaji kufanya ni kujaza fomu ya maombi. Ikiwa hauna majibu kamili kwa maswali yote kwenye fomu, jisikie huru kutoa makadirio yako.

Jambo la muhimu ni kuhakikisha unajaza fomu yako na kuikusanya kabla ya tarehe ya mwisho ambayo ni
10 Novemba 2019. Nafasi ni chache!

Kabla ya kutuma maombi, tafadhali kumbuka:
- Kiswahili na kingereza kitatumika kama lugha za mawasiliano.
- Tupunguzie mzigo: Tutapokea na kufanyia tathmini idadi kubwa ya mawazo, tafadhali fuata maelekezo ya mipaka ya idadi ya maneno kwa kila kipengele.
- Ikiwa hauna jibu la swali andika: N /A
Barua pepe *
Your answer
Next
Never submit passwords through Google Forms.
This form was created inside of Anza. Report Abuse