Ramadhan Fun Run

DAR ES SALAAM - 19TH MARCH, 2023 

ZANZIBAR - 12TH MARCH, 2023A Walk to Ramadan “Ramadan Fun Run” is now into Season II comprising of 2Km for kids, 5Km and 15Km Fun Run conducted in Tanzania among Muslim communities together with Non Muslims to better enhance social cohesion; restore their faith to welcome Ramadan. @pink_hijabtz #BeyondAverage www.pinkhijab.or.tz

The Walk to Ramadan aims at improving practices and growing faith during the holy Ramadan as we believe people should prepare before Ramadan and acquire the right tips for practices.

  • It is a chance to network for Muslims, individuals, entrepreneurs, grow their business and Stakeholders to acquire new knowledge and message about the holy Ramadan. It will be a platform, a chance for Muslims to hear out views and improve their faith ready for the holy month.
  • This A Walk to Ramadan “Ramadan Fun Run” includes all Muslims and Business Communities from Small, Medium and Large Business, together with start-ups. · About 1000+ Participants will be invited
  • The Walk includes an exhibition where entrepreneurs and business people will have a chance to showcase their product and services.
  • The Exhibition will go on for one (1) day WHY THE WALK TO RAMADAN?
  • A rewarding Investment
  • Preparing for Ramadan, Giving few key points (The do and don’ts) of good and but during Ramadan
  • We call for your support again this year as we endeavor to make sure no Muslim family goes without food during holy month (orphans). · Please let us make sure they get their iftaar on time Keywords: Iftaar on time
Sign in to Google to save your progress. Learn more
JINA LA KWANZA: *
JINA LA UKOO:
*
TAREHE YA KUZALIWA:
MM
/
DD
/
YYYY
JINSIA:  
Clear selection
UMRI: 
NAMBA YA KITAMBULISHO: NIDA / LESENI / D.L/: 
*
SIMU:
*
BARUA PEPE:
ANUANI:
T-SHIRT SIZE: 
*
CHAGUA MAHALI UTAPOSHIRIKI: *
CHAGUA UMBALI UTAKAOSHIRIKI:
(Dar es salaam)
*
CHAGUA UMBALI UTAKAOSHIRIKI:
(Zanzibar)
*

Kwa kusaini hii fomu ya kujiunga na RAMADAN FUN RUN  (“Tukio”), mshiriki anakubali na kuridhia yafuatayo:-

1. Pamoja nakwamba waandaaji wamechukua tahadhari zote kuhakikisha usalama wa Washiriki ajali na hatari zinaweza kutokea, hivyo washiriki kwa
 ridhaa yao wenyewe wanaafiki kushiriki katika matembezi haya wakitambua uwezekano wa hatari na ajali kutokea na kwa ajili hiyo wanatoa kinga ya
 kutodai fidia au madai ya aina yoyote kutokana naTukio hili au kwa namna yoyote, pamoja na pasipo ukomo kwa Waandaaji, Wafadhili, Watangazaji,
Serikali za Mitaa, au Mamlaka yoyote pamoja na Wakurugenzi, Wafanyakazi, Wagavi na wasaidizi wao wote waliotajwa hapa, pamoja na mtu binafsi, Afisa
au Wakala (“Wahusika”).

2. Mshiriki wa Tukio anatoa kinga na anaahidi kutodai fidia wala madai ya aina yoyote yale iwe yamesababishwa mojakwamoja au la, iwe imesababishwa
 kwa uzembe au la, au kwakushiriki au kuhusika katika kupita njia au kwaTukio au kwa namna nyingine ikijumuisha ucheleweshaji, usumbufu, ajali, kifo,
kuumia, ugonjwa kwa watu wao, au hasara au uharibifu kwenye mali au gharama na matumizi yaliyofanyika, kufanyika au kuwekwa na Washiriki na/au
mtoto yeyote yule chini ya uangalizi au usimamizi wa Washiriki.

3. Mshiriki anathibitisha kuwa na uwezo kiafya na kiakili na ana Mamlaka ya kusaini hii fomu ya usajili na      kukubaliana na masharti haya.

4. Mshiriki ninatoa ruhusa na ridhaa ya kutumia pasipo malipo au madai ya aina yoyote, jina langu, sauti, picha yangu inayosimama na inayotembea,  itumikwe katika matangazo, mawasiliano ya aina yoyote ile, promosheni, au aina nyingine yoyote ile ya matangazo ya sasa na kwa matukio ya baadaye.

5. Mzazi/Msimamizi wanao waruhusu watoto kushiriki ni lazima wasaini fomu hii na itamaanisha kukubalina kuafiki kuwa mtoto atashiriki kwa masharti
 na vigezo vya Tukio hili, na aidha kutofidia kwa Wahusika kwa kiwango, iwapo kipo, ambacho mtoto hataweza kuondoa haki na madai yake kama
yalivyoelezwa humu.

*
Required
Submit
Clear form
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service - Privacy Policy