AMUA II INNOVATE FOR DISABILITY
AMUA Accelerator II ni mradi wa awamu ya pili, unaosimamiwa na kuendeshwa na UNFPA kwa kushirikiana na Sahara Ventures kupitia ufadhili wa shirika la misaada la Uingereza, UKAid.

AMUA imejikita katika kuibua na kuboresha tatuzi za kibunifu zinazolenga changamoto ziwakumbazo watu wenye ulemavu katika kupata taarifa na huduma za afya ya uzazi na ujinsia. Mradi huu unajikita katika kutambua vijana, wajasiriamali na wengineo wote wenye mawazo bunifu ya kibiashara yanayoweza kuziba pengo kati ya watu wenye ulemavu na taarifa za huduma ya afya ya uzazi na ujinsia.

Jina Kamili *
Your answer
Jinsia *
Umri *
Una ulemavu wa aina yoyote? *
Katika kaya yako, unaishi na mtu mwenye ulemavu? *
Mahali unapotokea *
Namba yako ya simu *
Your answer
Barua Pepe *
Your answer
Elezea wazo lako kwa ufupi. *
Your answer
Wazo lako linatatua tatizo gani? *
Your answer
Wazo lako linaleta suluhisho gani? *
Your answer
Tafadhali eleza kuhusu timu/kikundi chako ( Jina kamili & Jinsia) *
Your answer
Ni changamoto gani kati ya hizi wazo lako limelenga kutatua? *
Umepata taarifa hizi kupitia njia gani? *
Submit
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service