MREJESHO WA HUDUMA KWA MTEJA
MAHAKAMA YA TANZANIA INAPENDA KUPATA MREJESHO WA HUDUMA INAZOTOA KUANZIA NGAZI YA MAHAKAMA ZA MWANZO MPAKA MAHAKAMA YA RUFANI. HIVYO UNAOMBWA KUJAZA FOMU HII KUTUARIFU CHANGAMOTO YA HUDUMA ULIYOPEWA AU KUTUPATIA USHAURI.
1. CHAGUA NGAZI YA MAHAKAMA *
2. JINA LA MAHAKAMA *
3. CHAGUA AINA YA SHAURI *
4. NAMBARI YA SHAURI NA MWAKA *
5. HALI YA SHAURI LAKO *
6. SHAURI LAKO LIMEKAA MAHAKAMANI KWA MUDA GANI? (MIAKA) *
7. JE WEWE NI NANI KWENYE SHAURI HILO? *
8. JINA LAKO KAMILI NA NAMBARI YA SIMU (MUHIMU KWA UFUATILIAJI)
9. JINSI *
10. UMRI WAKO *
11. KAZI YAKO *
12. CHAGUA CHEO CHA ALIYEKUHUDUMIA *
Required
13. TAJA JINA LA ALIYEKUHUDUMIA NA NAMBARI YAKE YA SIMU (KAMA UNAYO)
14. HUDUMA INAYOLALAMIKIWA (UNAWEZA KUCHAGUA ZAIDI YA MOJA) *
Required
15. MAELEZO YA LALAMIKO/MALALAMIKO KWA UFUPI *
16. KWA UJUMLA UNAONAJE HUDUMA ZA MAHAKAMA? *
17. UNATUMIA HUDUMA ZA WAKILI? *
18. TAJA JINA LA WAKILI NA NAMBARI YAKE YA SIMU (KAMA UNAYO)
19. USHAURI WAKO WA KUBORESHA HUDUMA ZA MAHAKAMA KWA UFUPI
20. BARUA PEPE (EMAIL) YAKO (KAMA UNAYO)
Submit
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service - Privacy Policy