NACTVET-WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
Tunawataarifu kuwa, tunaadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma kuanzia tarehe 16-23/Juni/2022.  Tunatumia wiki hii kupata mrejesho wa huduma tunazozitoa. Mwisho wa kupokea maoni katika zoezi hili ni tarehe 23 Juni,2022.
Tunawaomba muwe huru kutoa maoni yenu  ambayo tunatumaini yatasaidia kuboresha huduma zetu.
Tutafurahi kupata mrejesho katika huduma zifuatazo au zozote ambazo uliwahi kupata kutoka NACTVET

Jinsi *
1. Kusajili Vyuo vya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Clear selection
2. Kutoa Ithibati kwa Vyuo vya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Clear selection
3. Kusajili walimu wa Vyuo vya Elimu na  Mafunzo ya Ufundi
Clear selection
4. Kutambua Idara za mafunzo ya Elimu na  Mafunzo ya Ufundi katika Vyuo
Clear selection
5. Kutoa Idhini ya matumizi ya mitaala ya Elimu na  Mafunzo ya Ufundi
Clear selection
6. Kutoa huduma ya kukodisha mitaala ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Clear selection
7. Kutoa Idhini ya sampuli za Hati za matokeo ya mitihani na Vyeti vya kuhitimu Elimu na Mafunzo ya ufundi
Clear selection
8. Kufanya uhakiki wa Udahili wa Wanafunzi
Clear selection
9. Kutoa Hati za matokeo ya mitihani ya Vyuo vya Elimu na  Mafunzo ya Ufundi
Clear selection
10. Kutoa Vyeti vya kuhitimu Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Clear selection
11.  Kutoa Taarifa mbalimbali kuhusu Vyuo vya Elimu na  Mafunzo ya Ufundi
Clear selection
12. Kutoa Takwimu mbalimbali kuhusu Vyuo vya Elimu na  Mafunzo ya Ufundi
Clear selection
13. Kutoa mafunzo elekezi kuhusu Elimu na  Mafunzo ya Ufundi
Clear selection
14. Kufanya Tathmini na Ulinganisho wa Vyeti na Tuzo
Clear selection
15. Kufanya uhamisho wa wanafunzi;
Clear selection
16. Kufanya Malipo ya huduma
Clear selection
17. Kufanya Mawasiliano
Clear selection
Maoni mengineyo tofauti na huduma zilizotajwa hapo juu
Submit
Clear form
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. - Terms of Service - Privacy Policy