Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania
MAFUNZO YA UENDESHAJI WA BIASHARA

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), kwa kushirikiana na Taasisi zinazosimamia na kudhibiti biashara nchini inaratibu mafunzo kwa Wafanyabiashara wakati wa Maonesho ya 43 ya DITF, 2019 yatakayoanza tarehe 3 hadi 6 Julai, 2019.
Vigezo vya Ushiriki Mafunzo
Vigezo vya Kushiriki Mafunzo hayo ni kama Ifuatavyo:
Kampuni Ndogo na za Kati zinazojishughulisha na uzalishaji au biashara kwa kipindi cha miaka mitatu (3) au zaidi;
Kampuni iwe tayari inafanya biashara katika soko la ndani ya nchi na
Kampuni yenye uzoefu au inatamani kuuza bidhaa nje ya nchi.

Tafadhali wasilisha maombi kwa kujaza fomu hii kabla ya tarehe 19 Juni, 2019
Next
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service - Privacy Policy