Maombi ya kujiunga Ndoto Hub Msimu wa 8 Dar - Women Instapreneurs
Ndoto Hub ni jukwaa maalum la ujasiriamali kwa wanawake linalotoa nafasi na nyenzo kwa wajasiriamali wanawake kuweza kufanyia kazi mawazo yao ya kibunifu ya biashara; kuwapatia elimu ya biashara na uongozi. Pia Ndoto Hub ni jukwaa linalowakutanisha wanawake wajasiriamali na fursa mbalimbali za mitaji na masoko.

Ndoto Hub kupitia tawi lake la Dar es Salaam inatoa nafasi kwa wanwake wajasiriamali au wenye wazo la ujasiriamali kwa kutumia mtandao maarufu wa Instagram (Instapreneurs) kutuma maombi ya kujiunga na mafunzo ya biashara, kufanyia kazi na kukuza mawazo yao ya kibiashara.

Mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake Instapreneurs yataanza rasmi 16 Julai 2021 na yatachukua muda wa wiki 5.
Email *
Jina Kamili *
Tarehe ya Kuzaliwa *
MM
/
DD
/
YYYY
Mawasiliano yako (Namba ya simu) *
Andika namba yako ya simu inayopatikana WhatsApp *
Unaishi mkoa gani? *
Tuambie kiwango chako cha elimu *
Tuambie wazo lako la biashara *
Wazo lako la biashara limejikita upande gani (unauza bidhaa gani au unatoa huduma gani mtandaoni)? *
Kuna bidhaa unatengeneza mwenyewe? *
Kama unatengeneza bidhaa, taja aina ya bidhaa unazotengeneza, kama hutengenezi bidhaa andika tu "N" *
Weka jina la Instagram account ya biashara yako *
Umefikia hatua gani katika wazo lako la biashara? *
Kwa sasa unadhani unahitaji kufanya mambo gani kuweza kulikuza wazo lako la biashara au kuikuza biashara yako? *
Taja changamoto unazodhani zinakwamisha ndoto yako kwa sasa. *
Kwa mtazamo wako, ni nini kitatokea endapo ndoto yako itafanikiwa? (Pia eleza ndoto yako itawanufaisha kina nani na kivipi) *
Kwa sasa: *
Kadirio la mapato yako kwa mwaka: *
Ndoto hub inazo nafasi chache za kujiunga na mafunzo maalum kwa wajasiriamali kwa msimu, tuambie ni kwa nini wewe unastahili kupata nafasi hii? *
Mafunzo yanayotolewa Ndoto Hub yanagharimu kiasi cha Shilingi 400,000 mpaka kumaliza, endapo utapata nafasi hii utamudu gharama za mafunzo? *
Kupitia wafadhili wa Ndoto Hub, kuna uwezekano wa kuwa na nafasi chache sana za ufadhili kuanzia 50% mpaka 100% Tueleze kwanini wewe unastahili kupata ufadhili huu? *
Endapo utapata nafasi hii, uko tayari kuhudhuria mafunzo kikamilifu kwa muda wa wiki 5 hapa Dar, kwa gharama zako mwenyewe za malazi, usafiri na chakula? *
Ulipataje taarifa za kuwepo kwa nafasi hii ya mafunzo Ndoto Hub? (chagua zote zinazohusika) *
Required
Submit
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service - Privacy Policy