Maombi Ya Kuwa Balozi wa NALA
Kuhusu Program hii:
Kampuni ya NALA Inakupa Fursa ya Bila Malipo ya Kuiwakilisha kama Balozi.

Majukumu ya Balozi:
-Kusambaza taarifa kuhusu NALA Ili kupanua wigo wa uelewa kwa watu kuhusu NALA. Hii ni pamoja na kuweza kupata watumiaji wa NALA na kupokea maoni na Ushauri wao kuhusu NALA.

Faida za kuwa balozi wa NALA
1: Balozi atapa Cheti Cha Uongozi kutoka NALA
2: Balozi anajijengea nafasi ya kupata ajira kwenye kampuni kadri kampuni inavyokuwa
3: Balozi atapata Mafunzo na Ujuzi moja kwa moja kutoka kwa viongozi waandamizi wa NALA
4: Balozi atapata Nafasi ya kutoa juhudi na Ushauri moja kwa moja kwenye kampuni hasa kuhusu kuboresha NALA, uendeshaji wa biashara na swala zima la masoko
5: Balozi atapata nafasi ya kuhudhuria matukio ya kampuni pindi yatakapo andaliwa
6: Balozi atapatiwa zawadi za kuwapa watumiaji wa NALA
7: Balozi atapata Maarifa, Ujuzi na Uelewa katika Mambo tofauti, atajenga mahusiano na watu Mbali Mbali na Mengineyo Mengi

Email address *
Jina Kamili
Jaza majina yako *
Your answer
Umri *
Your answer
Nambari ya simu
Jaza namba ya WhatsApp *
Your answer
Njia ya Mawasiliano Upendayo *
Mji Uliopo *
Unafanya Shughuli Gani
Jaza shughuli unayofanya (kama ni Mwanachuo jaza jina la chuo) *
Your answer
Unatumia Mitandao Gani? *
Required
Unatumia Aina Gani ya Smartphone? *
Your answer
Next
Never submit passwords through Google Forms.
This form was created inside of NALA. Report Abuse - Terms of Service