Dodoso la Mteja
Habari,

Jina langu ni Irwin Binamungu. Hivi karibuni tutafungua milango ya jukwaa la Miliki Kuu ya Tanzania; linaloitwa Kiriza. Itaanza kutumika baada ya miezi michache. Lakini kabla ya kuanza matumizi, ningependa nikuulize maswali machache. Unaweza kunisaidia?

Unaweza kushiriki kwa kujaza maswali machache. Majibu yako yote yatatuzwa kwa siri. Tunakusanya hizi taarifa tuweze kukujua wewe vizuri ili upate jukwaa linaloendana na mahitaji yako.

Jiunge kwenye Mawasiliano ya Kiriza kwenye Telegram kupitia Kiriza Rasmi (t.me/kiriza_sw) kwa Kiswahili na Kiriza Official (t.me/kiriza_en) kwa Maongezi ya Kiingereza.


Asante Sana na Siku Njema.
Irwin Binamungu,
Raisi na Muanzilishi wa Kiriza

Next
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service