MREJESHO NA MAONI YA HUDUMA
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali tunapenda kukuomba kupata mrejesho wako na maoni kuhusu Huduma zitolewazo na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mawakili wa Serikali pamoja na Wanasheria wa Serikali. Tunatanguliza Shukurani.
Sign in to Google to save your progress. Learn more
Jina lako kamili *
Email yako *
Je, una peo wowote kuhusu maswal ya kisheria? *
Umri wako *
Je, unafahamu huduma zitolewazo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali? *
Je, umewahi kupata huduma ya moja kwa moja kutoka kwenye Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali? *
Huduma ilikuwaje? *
Kwa ujumla na kwa ufupi, unaonaje huduma za ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali? *
Je, unafahamu huduma zitolewazo na Wakili au Mwanasheria wa Serikali? *
Je, umewahi kupata huduma ya moja kwa moja kutoka kwa Wakili au mwanasheria wa Serikali? *
Huduma ilikuwaje? *
Kwa ujumla na kwa ufupi, unaonaje huduma za Mawakili na Wanasheria wa Serikali? *
Kwa ufupi, nini maoni yako ili kuboresha huduma kwa ufanisi zaidi? *
Submit
Clear form
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google.