TIMIZA NDOTO NA DILIBOMBA
TimizaNdoto na Dilibomba ni shindano la kutimiza ndoto yako kwa kuelezea kwanini ndoto uliyonayo inapaswa kushinda. Shindano hili lina lengo la kumtimizia ndoto Mtanzania kwa kupatiwa fedha taslimu milioni 10 za kitanzania. Shindano linahusisha ndoto yoyote iwe kuanzisha au kukuza biashara, kujiendeleza kielimu au nyinginezo zote zitashindanishwa.

Kwa maelezo zaidi juu ya shindano hili tembelea https://dilibombaagency.com/dilibomba/timiza-ndoto/
Jina Lako Kamili *
Ndoto yako *
Mfano. Kujiendeleza kielimu, Kuanza biashara ya kuku, kusafiri...nk
Sababu za kwanini dilibombaagency itimize ndoto yako? *
Sababu za ndoto yako kustahili kutimizwa
Namba ya muamala wa Tangazo uliloliweka/ulilowahi kuweka kwenye mtandao wa Dilibombaagency.com? *
Andika namba ya muamala uliyoipata kutoka Mpesa/Tigopesa baada ya kulipia tangazo kwenye tovuti ya dilibombaagency,com
Tarehe uliyoweka tangazo
MM
/
DD
/
YYYY
Mawasiliano *
Namba yako ya Simu.
Submit
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service - Privacy Policy