Thamani ya Nyumba yako
Wamiliki na wauzaji wa nyumba wanapata changamoto kubwa kwenye kujua thamani ya miliki kuu yako. Tatizo hili linawafanya watu hawa kutoza hela kidogo au nyingi ukilinganisha na thamani halisi. Kiriza inakupa suluhisho kwa kukutanisha wewe na wataalamu wenye ujuzi wa hali ya juu kwenye kutathmini thamani za nyumba. Jaza fomu hii na mtaalamu atawasiliana na wewe. Pia utapata dokumenti binafsi ambayo utaweza kutumia kudhibitisha thamani ya nyumba yako ukiwa kwenye maongezi na mteja.

Email address *
Next
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service