Request edit access
Usajili wa Ndoto Hub
Ndoto Hub ni jukwaa mahususi la kuwawezesha wanawake wajisiriamali wabunifu kuanzisha biashara zenye kumuendeleza yeye na jamii yake. Kupitia Ndoto Hub, utapata eneo la kufanyia kazi ndoto yako, mafunzo na nyenzo za ukuzaji na uongozaji biashara na stadi za maisha kumudu na kujitambua.

Mchepuo huu utahusisha zaidi wanawake wenye wazo la ujasiriamali katika 'Mitindo na Urembo' (Lifestyle and Beauty)

Wasilisha fomu hii ya maombi kabla ya tarehe 30/12/2018 saa moja kamili jioni.

Email address *
Jina Kamili *
Mawasiliano yako (Namba ya simu) *
Mawasiliano yako (Barua pepe) *
Tarehe ya Kuzaliwa *
MM
/
DD
/
YYYY
Kwa sasa unaishi katika mkoa gani? *
Tuambie wazo lako biashara katika Mitindo au Urembo (Lifestyle or beauty) *
Umefikia hatua gani katika wazo la biashara yako? *
Kwa sasa unadhani unahitaji kufanya mambo gani kuweza kulikuza wazo lako la biashara? *
Taja changamoto unazodhani zinakwamisha ndoto yako kwa sasa. *
Kwa mtazamo wako, ni nini kitatokea endapo ndoto yako itafanikiwa? (Pia eleza ndoto yako itawanufaisha kina nani na kivipi) *
Ndoto hub inatoa nafasi chache za kujiunga na mpango wa mafunzo maalum kwa wajasiriamali katika sekta ya 'mitindo na urembo' (lifestyle and beauty) tuambie ni kwa nini wewe unastahili kupata nafasi hii. *
Kadirio la mapato yako kwa mwaka: *
Endapo utapata nafasi hii, uko tayari kugharamia mafunzo yako katika Ndoto Hub? (Gharama ya masomo imeainishwa kwenye vigezo na masharti www.ndotohub.com) *
Nimesoma na ninakubaliana na vigezo na masharti ya kujiunga na Ndoto Hub. (Ingia www.ndotohub.com kusoma vigezo na masharti) *
Submit
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. - Terms of Service