Request edit access
Fomu ya kujiunga mafunzo ya elimu ya Ujasiriamali na Fedha (WEZESHA Program).
Mafunzo haya yameandaliwa kwa lengo la kumuwezesha mjasirimali au mwenye wazo la kuanzisha buiashara kuongeza ufanisi katika shughuli zake. Elimu ya Fedha na Ujasiriamli ni nguzo muhimu katika mafanikio ya mjasiriamali au mfanya biashara. Capital Space kupitia program ya WEZESHA tumeandaa mafunzo haya rasmi kwa lengo la kushirikiana na kuwezesha ufanisi na mafanikio kwa wajasiriamali.

Mafunzo haya ya siku mbili yataanza rasmi tarehe 6 mwezi wa nane (August) 2021. Karibu kushiriki!
Sign in to Google to save your progress. Learn more
Jina kamili *
Anwani ya barua pepe *
Jinsia *
Required
Umri *
Required
Mahali unapoishi *
Namba ya simu *
Tujulishe biashara unayofanya kama umeshaanza. Kama haujaanza kufanya biashara andika "Hapana" *
Unawazo gani la biashara (kama hauna biashara) *
Unapitia changamoto gani katika biashara yako?
Ungependa kujifunza nini katika mafunzo haya?
Maoni mengine?
Submit
Clear form
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. - Terms of Service - Privacy Policy

Does this form look suspicious? Report