Taarifa ya Mchangiaji -Kampeni ya Dhibiti Mlipuko wa COVID-19 Tanzania
Asante kwa mchango wako. Tafadhali weka jina lako, anuani ya barua pepe na namba ya simu, ili tukutumie barua kwa ajili ya punguzo la kodi (tax return). Barua zitatolewa kwa wale tu waliochangia kiwango cha kuanzia US$250, kufuatana na kanuni za US Internal Revenue Service. Hii ni kwa ajili ya watanzania waishio marekani peke yake.