AINA YA MAFUNZO YA UALIMU NA VYUO VINAVYOTOA MAFUNZO HAYO
Na. | AINA YA MAFUNZO | VYUO VYA UALIMU VINAVYOTOA MAFUNZO | MUDA WA MAFUNZO |
1. | Astashahada ya Ualimu Elimu ya Msingi | Bustani TC, Ilonga TC, Kabanga TC, Katoke TC, Kitangali TC, Kinampanda TC, Mandaka TC, Mtwara (U) TC, Mhonda TC, Murutunguru TC, Mpuguso TC, Singachini TC, Tandala TC, Tarime TC Vikindu TC, Nachingwea TC, Ndala TC, Mamire TC, Shinyanga TC, Marangu TC,Tabora TC, MonduliTC, Sumbawanga TC na Dakawa TC | Miaka 2 |
2. | Astashahada ya Ualimu- Elimu Maalum | Patandi TC, Kabanga TC na Mpwapwa TC | Miaka 2 |
3 | Astashahada ya Ualimu Elimu ya Awali | Kinampanda TC, Nachingwea TC, Mhonda TC, Tarime TC, Vikindu TC, Mpuguso TC, Mandaka TC, Singachini TC, Murutunguru TC, Kabanga TC, Bustani TC, Ndala TC, Katoke TC, Bunda TC, Sumbawanga TC, Tabora TC | Miaka 2 |
4 | Astashahada ya Ualimu Elimu kwa Michezo | Tarime TC, Mtwara (K) TC, Ilonga TC, Tabora TC | Miaka 2 |
5 | Astashahada ya Ualimu Elimu ya Msingi (English Medium) | Dakawa TC, Marangu TC, Tabora TC | Miaka 2 |
SEKONDARI MASOMO YA SAYANSI, BIASHARA NA HISABATI
1 | Stashahada ya Ualimu Sayansi, Biashara na Hisabati | Monduli TC, Butimba TC, Kleruu TC, Songea TC, Tukuyu TC, Kasulu TC, Mpwapwa TC, Morogoro TC, Korogwe TC, Tabora TC Mandaka TC (kwa masomo ya Sayansi na Hisabati) na Sinyanga TC (kwa masomo ya Biashara) | Miaka 3 |
C. MAFUNZO YA UALIMU KAZINI (ASTASHAHADA YA ELIMU MSINGI ELIMU MAALUMU)
Na. | AINA YA MAFUNZO | CHUO | MUDA WA MAFUNZO |
1 | Astashahada Elimu Maalum (Mafunzo kazini) Msingi | Patandi TC | Miaka 2 |
D.STASHAHADA YA UALIMU SEKONDARI (MIAKA 2)
1 | Stashahada ya Ualimu Sayansi na Hisabati | Monduli TC, Mandaka TC, Butimba TC, Kleruu TC, Songea TC, Tukuyu TC, Kasulu TC, Mpwapwa TC, Morogoro TC, Korogwe TC, Mamire TC na Tabora TC | Miaka 2 | |
2 | Stashahada ya Sayansi ya Jamii, Biashara na Lugha | Bunda TC, Mtwara (K) TC, Marangu TC, Nachingwea TC, Shinyanga TC, Mandaka TC, Mpuguso TC, Dakawa TC, Butimba TC, Tabora TC, Morogoro TC, Tarime TC, Shinyanga TC, | Miaka 2 | |
3 | Stashahada ya Ualimu Michezo, Muziki, Sanaa za Ufundi na Sanaa za Maonesho | Butimba TC | Miaka 2 | |
Stashahada ya Ualimu Michezo, | Butimba TC , Mtwara TC na Mpwapwa TC | Miaka 2 |