NI WEWE
Written by KATENANCY TWINS
Verse 1
Nainua macho yangu juu (i lift up my eyes)
Msaada wangu watoka wapi (where does my help come from)
Msaada wangu watoka kwako (my help comes from you)
Mungu wa miungu (God of gods)
Bwana wa mabwana (Lord of Lords)
Nainua macho yangu juu (yangu juu)
Msaada wangu watoka wapi eh (kwake yeye)
Msaada wangu watoka kwako we (kwake yeye)
Mungu wa miungu, Bwana wa mabwana
Ni wewe wewe, Hulali husinzii (it’s you you, you never sleep nor slumber)
Chorus
Ni wewe wewe wewe kimbilio (it’s you you you, my refuge)
Ni wewe wewe wewe msaada Yesu (it is you you you, my help)
Ni wewe wewe wewe kimbilio
Ni wewe wewe wewe msaada
Verse 2
Wewe ni mkate (you are the bread)
Mkate wa uzima (bread of life)
Wewe ni maji, yaliyo hai (yaliyo hai) (you are living waters)
Wewe ni mwanzo, mwanzo tena mwisho (mwanzo tena mwisho) (you’re the beginning and the end)
Hubadiliki jana leo milele eh (you never change yesterday today and forever)
Verse 3
You are my God there is none like you
You are my king you are forever good
You are the rock of my salvation (of my salvation)
I lift my hands to you
Chorus
Verse 4
You knew me before i took my breathe
You are the God that has carried me this far
Had it not been for your mercy and grace
I do not know where i would be right now
Chorus
Usiku mchana... wewe msaada (day and night, you are my help)
Wakati wa shida... wewe msaada (in times of trouble, you are my help)
Tegemeo langu... wewe msaada (my support, you are my help)
Wanipigania... wewe msaada (you fight my battles, you are my help)